Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu...
Hongera sana jembe jipya sasa JF inapata watu wenye akili nilianza kuona kichefuchefu kusoma JF kwa sababu niliona nusu ya wachangiaji ni mentali cases kiasi ambacho hawajaona na hawaelewi jinsi nchi yetu ilivyobahatika kupata viongozi wenye hekima , na waadilifu sasa nimefurahi kuona wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.