Recent content by tafakari vizuri

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    GT, nilikuona twice last week ukiingia kwenye ofisi za rafiki yako, why didnt you tell him not to take this position as a good advise kama wewe ni rafiki yake kweli?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Well GT you had the right informantion, as I have confirmed from the most realiable source, na hii inaendana na informnation za GT espcially item 1&2. Ni kweli jamaa hakuomba kazi wala kufanya interview! Previous DG alimaliza kazi yake toka mwaka jana mwezi February 2009 and since then the...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Waberoya, by the way who told you there's a democracy in job applications and who are the voters? and who was supposed to be a voter and a NEC in this process? Huu sasa ni ukilaza wa hali ya juu and I will not argue with you again!!!!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Yaani wewe hujaona majibu, lazima ni kilaza kweli, 1) Jamaa aliaply 2)alikuwa shorlisted 3)alifanyiwa interview umeambiwa mwaka aliojiunga CBA ambao hauhusiani na EPA, sasa unataka data gani. Na kazi imekwenda na mimi walau nilikuwa kwenye mchakato wa kupata kazi. Sasa machozi yako ya mamba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Nyani mtoto, mambo yanapopindishwa kwa makusudi bila tija kwa taifa basi daima tutaingia tu. He who knows not and knows not that he knows not is a fool; shun him. He who knows not and knows that he knows not is a child; teach him He who knows and knows not that he knows is asleep; wake him He...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    MM, well written na kweli nakubaliana na wewe kwa hoja zako ambazo ninazinukuu tena hapa chini!! Hoja zilizotolewa hapa kubwa ni kwamba (according to GT): a. Mchechu aliteuliwa bila kuonesha interest (umetupa upande ambao GT hakutupa kuwa kweli aliomba, I'm giving you the benefit of the...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Masanja; watu hawana data, mimi nimepata habari za ndani, application zaidi ya 100 na shortlisted ni 26 tu ambao walikidhi vigezo na jamaa alikuwa ndani ya lisit, na hii ni habari ya kutoka ndani na usisahau na mimi niligombea hicho kinyang'anyiro. lakini kushiriki kwangu kulinifanya niwe karibu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Sasa rafiki yangu si basi uamue kuwa mganga wa kienyeji basi, kuwa wewe ulikuwa unaleta utabiri wako wa uchaguzi wa 2010, kama ni kwa misingi si itabidi kazi zote ambazo inabidi watu wachaguliwe mwaka huu zisimamishwe kwasababu kila atayechaguliwa mtalink na election??!! inabidi kuwa na atleast...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    GT nafikiri ni vema na haki nikakupatia data nyingine za ziada 1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye Nasikia aliomba kwa hiyo wakeleketwa waulize E&Y 2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe. Alishiriki kwenye usaili na mimi nilikuwa kwenye...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    MM, come on grow up men, what is so difficult about getting the right person on this case, when you judge that this person is bad what process do you foloow in your mind? Let us encourage this guy on the difficult task that is lying ahead, na akiweza tutaweza kupiga kelele nyingi kama vijana!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Mimi namfahamu huyu na kwa kweli CV yake ni nzito, ni mtu msafi na mchapa kazi na uteuzi haukuwa na mizengwe isipokuwa wale waliokosa kazi hii ndyiyo wanataka kila mtu aamini kuwa kulikuwa na mizengwe. Nimefuatilia kwenye source muhimu ndani ya E&Y na hii ndo hadithi kamili. Jamaa aliomba hiyo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    We seem to be discusing people instead of being objective on this matter. My main interest is to get the people who will help to transform this country ahead. hizi habari za kuishia kuchangia kwa kuchambua watu sidhani kama zitaisaidia Tanzania kusonga mbele! So what if you go through the right...
Back
Top Bottom