Recent content by TAECOLTD

  1. TAECOLTD

    Kwako Boss/ Mwajiri nadhani ukifanya hivi itapendeza sana

    Hiyo point ya kuajiri ndugu naielewa kiundani kabisa...sitasahau mdogo wangu mtoto wa mama yangu mdogo alichonifanyia kwenye duka langu la jumla pale Tip Top mwaka 2012 aiseeee...ndugu waache wabaki kua ndugu tu la sivyo mtaishia kwenye uhasama mkubwa saaaana na migogoro isiyoisha Sent using...
  2. TAECOLTD

    Bora nikate tamaa ili niwe salama

    We jamaa upo vizuri kinoooooma yaaan umeteremka kisomi na kueleweka sana...hii ndio inaitwa akili kubwa inayotakiwa katika jamii zetu maana wengi wetu tunapitia vipindi vigumu sana katika maisha (binafsi now napambana na colon cancer) so watu wenye positive mindset kama wewe ndio haswa mnatakiwa...
  3. TAECOLTD

    Mchungaji aanzisha TUISHENI ya bure kanisani kwa wanafunzi wa sekondari

    Ni wazo zuri sana saaaaaaaaaana...linafaa kuigwa na madhehebu mengine na kwa mfumo huu tutazalisha sio tu wanafunzi wenye ufaulu mkubwa bali pia kizazi kinachojitambua na chenye msimamo kupitia hiyo session ya ushauri na saha...Hongera sana baba Mastahi hakika una maono ya mbali sana na...
  4. TAECOLTD

    UDSM na Project Planning and Management

    Hiyo kozi ya project planning and management haipo kwa chuo cha mlimani na pia hujatanabaisha kua unaitaka katika level ipi? Je bachelor degree, Masters degree au PhD? Ila kwa ushauri tu kama unakizimia chuo cha mlimani na unataka kusoma hiyo kozi ambayo pale hamna basi kachukue kozi ya Applied...
  5. TAECOLTD

    Rejea kifo cha wazazi wa Anna: Maisha hayana maana kama hakuna kifo

    Can you prove this??? If you can't prove this in either way then I say no more than its just a fallacy with no reasonable existence
  6. TAECOLTD

    Kwanini ukiogelea haya maeneo Matatu ya Bahari ya Hindi ( Dar es Salaam ) ni lazima tu utazama na hata Kufa?

    Binafsi nilipousoma uzi wake na pia namna anavyowajibu watu nikabaini mleta mada alitaka majibu ya kua maeneo tajwa yanahusishwa na ushirikina, mambo ya majini majini hiviiiiiiii...in short ameokoteza story kijiweni, ambapo wengi wa wapiga soga ni waongoooo sababu hujua wanapiga soga na wajinga...
  7. TAECOLTD

    Matumizi ya simu kwa watoto na vijana wetu

    Tena sio 20,000 tena bali ni BUREEE kabisa means mzazi haingii gharama yoyote ihusuyo ada ila baada ya "technolojia na utandawazi" huyu mzazi aanze kuota kipara kutafuta ada ya laki kadhaa hadi million kadhaa kusomesha mwanae...
  8. TAECOLTD

    Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

    Na mimi naomba msaada...nina kiwanja changu kipo Mbezi mwisho kina ukubwa wa 20 urefu na upana 26 je naweza kujenga nyumba ya ukubwa gani na gharama yake je kwa nyumba ya kawaida tu sio ya kifahari...maisha yenyewe ya kawaida so nyumba ambayo inasadifu hali halisi ya maisha
  9. TAECOLTD

    Ndugu zangu mliosoma masomo yasiyo ya sayansi na mkasoma astashahada stashahada na shahada na hakuna matumaini ya kupata ajira badilikeni msome ufundi

    Mason inahusu nini na kwa hapo veta gharama zake zimekaaje na ni kwa muda gani hadi umalize na soko lake la ajira kwa hapa bongo limekaaje mkuu
  10. TAECOLTD

    Van Dame(Sinza), Yesu (Mbeya) kati ya Wababe waliowahi tikisa Tanzania

    Huyo shaban ndio yule S power four ????
  11. TAECOLTD

    Jambo limezua jambo, kumbe siri ndio hii!!!!!!

    Kila mtu ana assumptions zake kuhusu Dunia na umauti lakini all in all itabakia kua theories tu bila exact proof na hakuna ushahidi unaweza kuja kupatikana kuhusu theory hii so kilichopo ni kumtumainia muumba/ maanani baaasi hayo mengine yasiyoweza pata uthibitisho wa moja kwa moja tuachane nayo
  12. TAECOLTD

    Vitambulisho vya Magufuli, mtu anatakiwa awe na mtaji wa bei gani?

    Mmoja kashaliwa kichwa huko kisa vitambulisho vya mkulu, watendaji kutaka sifa usishangae hayo yanayoendelea
  13. TAECOLTD

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Joanah majibu yako Aiseeee Duh
  14. TAECOLTD

    Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Hii kitu wakati nasoma miaka ile nilikua namuona kaka yangu wa kwanza kama mkoloni yaaan hatujali sie wadogo zake maana msemo wake ulikua ni "familia yangu ni mke wangu na watoto wangu basi hao wengine nawasaidia mbali lakini sio kuishi kwangu " nilikua simpendiiiii ila baada ya kukua na...
  15. TAECOLTD

    Katika Matajiri wetu 10 wa juu Tanzania, hakuna aliyesoma Chuo Kikuu ndani ya nchi! Uchumi wetu unategemea elimu za nje, kwanini?

    Hayo ya kupata utajiri wala sikutaka kuyajua maana sio dhumuni la message yangu halafu sijui ume-quote kwenye message yangu wakati mie nilikua namjibu mdau mmoja aliyempoteza mwenzake kuwa Shigongo anasoma UDSM wakati sio kweli... Sasa nikuulize wewe mkuu umeni-quote na kusema Shigongo kapata...
Back
Top Bottom