siasa ni mchakato muhimu sana katika taifa sio kudadadeki au piga bao, vyama vyote vinafaidisha wananchi wote, kusingekuwepo CHADEMA tungeshauzwa, hivyo badilisha mtazamowako kuhusu siasa, ila sikulaumu hii ndio elimu ya siasa ianayotolewa na chama chako, tuombe mungu tujepata viongozi wenye...
maandamano yasio halali ni kwa CCM kwa woga wenu, lakini katiba inasema ni halali, kama mnafikiri mnaungwa mkono na wtanzania walio wengi simruhusu maandamano kama haki ilivyo kwenye katiba? acheni porojo fuateni katiba na mtoe haki lasivyo tutaitafuta CHADEMA
Miaka ishirini CCm ilikuwa juu 100%, Chadema ilikuwa chini 0% sasa CHADEMA ni Gumzo CCM nzima na Tanzania, tusasaidieni kuipaisha na mjiandae kwani kinachofuata ni CCM 0% na chadema juu 100% hiyo ndio logic reasoning. tumieni akili, acheni kuharisha humu JF
Miaka ishirini CCm ilikuwa juu 100%, Chadema ilikuwa chini 0% sasa CHADEMA ni Gumzo CCM nzima na Tanzania, tusasaidieni kuipaisha na mjiandae kwani kinachofuata ni CCM 0% na chadema juu 100% hiyo ndio logic reasoning. tumieni akili, acheni kuharisha humu JF
CCM wanapelekeshwa sana, sasa vipaumbele vyao ni 1. CHADEMA 2.CHADEMA 3.CHADEMA>...............10. CHADEMA, haya ndiyo matunda ya kazi zetu makamanda tuendelee kuchapa kazi wataisoma namba, watachafua Dr. Slaa, baadae tutaibuka Ma Dr. Slaa million 10, sijui watafanyaje wakati wana vichwa vya kuku.
watu wengine hamnazo, sasa ndoa ya slaa intuhusu nini? kwani kwenye siasa tutengeneza watoto? na kipimo cha elimu ni nini? digree? kipimo cha elimu ni uwezo wa kuchanganua mambo ili kuweza kutatua changamoto zako binafsi na za jamii inayozidi kudidimizwa na CCM na mfisadi wake.
Elimu yetu ndio tatizo haiwezeshi watanzania kutambua siasa ni nini, na sii kwa bahati mbaya bali ni makusudi, kwa madhumuni ya kuendeleza 'social capital' kwa tabaka tawala, sisi wenye dhiki mpaka utosini tuvae chagua CCM 95 na vibanda vikianguka na picha ya chagua mkapa tubaki tukishangilia na...
Hivi watanzania tujiulize huyu JK anatatizo gani? Mara mgogoro na Malwi, Uganda, madagasca,rwanda,Sudani,ya kidini Kisiasa madaktari, walimu waandishi wa habari na hata huko ndani ya chama chake migogoro haiishi jamani hamuoni kuwa ameshindwa? na si apatiwe mshauri? na sio Dr. Slaa. Acheni...
we vip kwani walio kuwa wanampigia debe ni nani?Uhuru anatoka Upinzani au serekalini?kama ameweza kumuondoa odinga basi na nyie subirini ch moto mtakiona.
hiyo sio issue jamaa alitolea mfano tu, hakuwa anawalenga directly, lkn kwa kuwa hukuiva vizuri umeanza kupindisha mada mkubwa, hii ni self over conciousness,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.