Recent content by tactician

  1. T

    Msaada kwa Wanasheria

    Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha
  2. T

    Bayport acheni utapeli

    Waandikie barua ya lalamiko,wasipojibu Basi Sheria ziko upande wako utapata na fidia km itathibitika mahakamani
  3. T

    BoT wanashughulikia kesi zisizozidi milioni 15. Je, madai yanayozidi kiasi hicho yapelekwe wapi?

    Benki kuu imeweka dawati la kushughulikia kesi zinazohusu mabenki na wateja wao, lkn wamesema kesi ambazo wao kama Benki Kuu wanasikiliza ni zile zisizozidi milion 15, Sasa je Kama madai yanazidi kiasi hicho inabidi yapelekwe wapi?
  4. T

    Msaada wa kisheria: Benki ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo

    Bank ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo, msaada kwa wanasheria hapa. Mimi nataka kudai fidia, wao waliwahi kukili kunikata na kurudisha hayo makato lakini hawakufanya hivyo, msaada tafadhali.
  5. T

    Msaada wa kisheria: Benki ya CRDB wamenikata mshahara pasipo kunipatia mkopo

    Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana. Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...
Back
Top Bottom