Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki.
Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.