Recent content by Ta-kibombo

  1. Ta-kibombo

    DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Mengi yalishajengwa na lami imeshafika mbali.Uwa inajengwa kila mwaka kwa awamu kilomita kadhaa na madaraja kadhaa.
  2. Ta-kibombo

    DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Njia mbadala yakukwepa mwigumbi ipo, inapitia Old Shinyanga unatokea Bubiki ambapo hapo unakua umeiacha Mipa na mwigumbi nyuma.Pia SGR kwa Shinyanga mjini haijafata MGR imekwepa imepita pembeni imepita Mwawaza, chibe, inaibukia Old Shinyanga.Napo hapo Old Shinyanga kuna daraja limejengwa ila...
  3. Ta-kibombo

    DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Njia ipo yakupitia Old Shinyanga,ambayo unatokea sehemu panaitwa Bubiki ambapo ilo daraja la mwigumbi unakua umeliacha nyuma.Na hapo Old Shinyanga napo kuna daraja ila lenyewe barabara ndio inapita juu reli chini pia bado wajakamilisha kujaza kifusi hivyo magari yanapita pembeni ya daraja.
  4. Ta-kibombo

    Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

    Kama choko choko haziishi kila wakati itabidi tuanze kutumia mbinu za israel sasa nikuteka maeneo yao yawe kama buffer zone ili tuheshimiane. Pia kutokana na chokochoko hizi na eneo tulipo ni wakati wa Jwtz kupewa bajeti kubwa na maradufu.
  5. Ta-kibombo

    Uganda wana import Gold from Tanzania kwani hapa hamna refinery?

    Huo ni mzigo toka Drc.Hiyo ni namna tu yakuiingiza sokoni bila kelele kua ni mzigo wa damu.
  6. Ta-kibombo

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Jambo group pekee wanamiliki viwanda vya bidhaa tofauti zaidi ya 12,hapo bado kom group, fresho, gaki&East African spirits nawengineo kina dahong. Kumbuka nafasi ya viwanda kanda ya ziwa baada ya mwanza sasa vinaamia mkoa wa Shinyanga,ndipo viwanda vingi kwa kanda ya ziwa sasa vinawekwa.
  7. Ta-kibombo

    Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

    Kwakweli Shinyanga kwa sasa imefunguka imeamka, kasi ya maendeleo nikubwa mno. Kwa waliotembelea Shy kuanzia 2020 kurudi nyuma na sasa nadhani wameona mabadiliko makubwa sana. Mji umefunguka umeanza kuchangamka. Pia wengi wanapita barabara kuu wanajua ndio mjini kati hapo ila hapo wanapopita ni...
  8. Ta-kibombo

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Kuchuliana tu, angalieni yasije kua kama yale ya nyuma kidogo kua fulani akimaliza muda wake katiba ibadilishwe aongezewe muda.
  9. Ta-kibombo

    Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

    Hizo ni "Satellite cities".Hapo wametumia kama msamiati tu nadhani uchache wa maneno ya kiswahili,kwa lugha ya kiingereza mji wowote uwe mdogo au mkubwa unaweza kuita 'city'
  10. Ta-kibombo

    Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

    Moja ya kigezo kwa Tanzania manispaa inayopaswa kupewa hadhi ya jiji lazima halmashauri hiyo iwe pia ni makao makuu ya mkoa, kwa kigezo hiki inapoteza sifa labda taratibu zibadilishwe.
  11. Ta-kibombo

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ni kweli design ya stesheni ya Shinyanga ni ya madini ya almas, pia stestesheni ya Malampaka design imejikita katika zao la pamba, stesheni ya Isaka design imejikita katika uunganishaji wa nchi jirani ndio maana ukiangalia jengo muonekano wake kama ni majengo mawili yaliyounganishwa.
  12. Ta-kibombo

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kwakweli,kikubwa wasimamiwe vizuri vitoke vitu vizuri vyenye ubora
Back
Top Bottom