Mkuu Walker Water & 7seven Msaada wenu tafadhali, mi kuna hali hua inanisumbua Sana afu nimeshindwa kuielewa na kila nikiuliza Watu hali Hiyo wananishangaa tu afu hawanielewi.
Hali yenyewe iko hivi naweza kua katika mazingira flani mfano barabarani tena barabara bana ya lami Tuko watuwengi ila...
Katika moja ya vipawa Mungu amekupa na hili la kujua maarifa ya Dini indeep, Mungu aendelee kukubariki Zaidi.
Ombi langu kwako ww 7seven na walker walter Katika Elimu mnayoitoa Guseni na vitu tunavyoishi navyo majumbani kwetu tujue Namna ya kuvi control nasikia vingine vinabeba Roho kamili na...
Ngoja wadau wengine waje watoe maoni yao, kwa upande wangu jibu Swali in short ili sasa ukipata nafasi/kibali uanzishe thread spesho kwa niaba ya mafundisho ya Dini uingie ndani Zaidi. Mtu akiuliza Swali linalohusu Hayo Mambo unamwambia tu search topic flani majibu yako yapo huko.
Hongereni sana 7seven & Walker Water kwa somo nzuri Sana. Maoni yangu juu ya thread Hii kwa jinsi nilivyoifatilia kuanzia mwanzo ni Elimu tosha ila kuna kitu Naona kama mwalim 7seven kama umeitoa kabisa hii thread katika uhalisia wake na kuipeleka kwenye UDINI. Hapa Naomba nisiieleweke vibaya na...
Kwa Wakristo mtu akiwa public speaker na vimaandiko viwili vitatu Tayari Wana muita ni mtumishi wa Mungu [emoji848]. Sasa hivi walio wengi ni Wajanja wanaingia mikataba na Shetani anafungua kanisa anapiga mkwanja, Mmoja wapo ni Huyo Geordev Yaani hilo lijamaa ni booonge la Devil...
Jibu la swali lako ni hili: chochote unachokiona Duniani ambacho ni kharamu kulingana na Imani za Dini ni mipaka Mungu ametuwekea wanaadamu ili tusimchukize. Hivyo basi ukifanikiwa kuingia PEPONI kule peponi hakuna mipaka yeyote Chochote kharamu Duniani PEPONI ni Halali yani ku enjoy tu. Hakuna...
Mama D, sijakuelewa bado Arobaini ya wafiraji na wasagaji ni ipo hapo??? Kutajwa tu Ndo Arobaini yao? Aaaah si Kweli Mbona Hao watu wanajulikana vizuri tu na Hakuna chochote kinachofanyika kwao? ..... wafiraji na wafirwaji wanajipost waziwazi tena bila uoga eti haki za binadam zinawalinda...
Nimejikuta naumia kwa story Yako...🥱. Pole Sana dadaangu ila bado muda upo, 30yrs unaweza ukarekebisha makosa yako na ukasimama Tena. Piga Goti inua mikono juu mlilie Mungu akupe moyo wa kukubaliana na matokeo na asikupe moyo wa kukata tamaa. Mungu humuinua mtu from 0% to 100%. Acha...
Kongo D.R.C wakati wa kugegeduana mwanaume ndo anaekata kiuno. Kwa Hiyo kama wewe unataka mauno kaoe MMAKONDE utakatikiwa vizuri saana hadi mshipa wa mb..o unauma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.