Recent content by t2t

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Wavae kama bikira Maria, hizo bikira zenyewe wanazo?
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Siasa za kitapeli hizi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Huko ni kutapatapa
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

    CCM imejaa vichwa maji ndio maana inategemea brains kutoka CHADEMA
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

    Kwamba CCM yenye maajabu inachukua watu kutokea CHADEMA chama cha juzi na kuwapa vyeo vikubwa ndani ya serikali! Hiyo ni sababu tosha kuonesha jinsi CCM ilivyo jaza vichwa maji.
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kinachoendelea mtaani, ni wazi Tundu Lissu/CHADEMA wana kazi kubwa ,No reforms No election it was wrong timing

    Chadema hawana cha kupoteza. Tena Mimi nawashauri wahamie CCM na wao wapambanie maslahi ya matumbo Yao waache kusumbuka na watanzania wasio jtambua.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Mna laana nyinyi siyo bure. Mmetanguliza maslahi yenu na ya familia zenu mbele badala ya Nchi. Watu mmekuwa kama wapumbavu kuhangaikia mambo ambayo mtakufa na kuyaacha. Punguzeni uchawa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nashangaa Kwa nini Jamiiforums hawajafuta huu uchafu ulio andika humu Hadi sasa. Kama wewe hutaki maoni ya wengine yasikike Kwa nini ya kwako yaachwe yasikike? CCM ni laana Kwa hili Taifa.
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tonetone yayeyuka huku CCM ikivuna Tsh. Bilioni 2.7 kwa fomu za Ubunge

    Utafichaje deni la Taifa? Au unadhani nalo linakopwa Kausha damu
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tonetone yayeyuka huku CCM ikivuna Tsh. Bilioni 2.7 kwa fomu za Ubunge

    Takwimu za CCM hazijawahi kuaminika
  11. T

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Iran waliodaiwa kufa wamedaiwa kuonekana kwenye sherehe Tehran!!

    Iran wanacho weza ni propaganda ila vita bado Sana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Iran waliodaiwa kufa wamedaiwa kuonekana kwenye sherehe Tehran!!

    Ukobaz umeshakula akili yako yote umekuwa msukule wa udini
Back
Top Bottom