Recent content by T14 Armata

  1. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania UKISAHAU YA KWEKA .MREMBO MWINGINE HUKO MARA.MWANASHERIA KAPITA NAE..MAPENZI NAOMBA NISHUKE PLS HILI BASI SILIWEZI

    Kumbe Diana kauwawa? I didn't know that. Nimeona classmates wake wanasikitika sikujua ameuwawa kumbe. Lakini mbona nimeona texts zake za mwisho, au alijeruhiwa kisha akafia hospitalini.
  2. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye uchaguzi bora wa pc kati ya Hp na lenovo kwa zinazofanana specs

    Unataka kununua Core i3 kwa milioni moja na laki saba? Wewe unastahili kuwekwa kitambaa chenye maji matakoni na kutandikwa fimbo. Hiyo si ni sawa na kununua IST kwa milioni 60. It seems hata laptop huna kazi nayo ngumu kivile maana wanaohitaji specs kali na wenye kazi nazo huwa wanajua. Wewe...
  3. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Ajali za malori nyingi zinahusha gari za kichina

    Umemaliza. Ila kina Scania na Benz na ndugu zao huo upuuzi nadhani huwa zinakataa. Ila Howo ni twende tu.
  4. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Nchi unayoishi wewe. Dini yako huwa unaisema humu mara kibao, ni taasisi gani ambayo huwa hamlipi watumishi?
  5. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Kanisani huwa siendi sana na michango sitoi kupitiliza. Ila mtu anapoamini ukichangia gari la Padre inabidi likusaidie direct kwenye usafiri, au ukichangia ujenzi wa shule inabidi mwanao asome bure au apewe discount ya ada kisa ulichangia ujenzi, au ukichangia ujenzi wa hospitali ya kanisa basi...
  6. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Mna shule na taasisi nyinyi kina nani? Taja hiyo dini yako ambayo taasisi zenu hazilipi wafanyakazi.
  7. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

    Ex wangu mwenye matako makubwa kuliko wanawake wote niliowahi kuwa nao anataka tukutane leo.
  8. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    Mlimuacha Dada Asha? Maana sisi tulimkuta mbibi anaitwa dada sasa kuuliza ndio tukaambiwa huyo alianza akiwa dada akazeekea hapo kwenye kuuza vitafunwa.
  9. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

    Hata camera zina matoleo kila mwaka. Hiyo Canon 5d Mk III uliyopendekeza ilitolewa 2012. Nimemshauri kulingana na bajeti yake hata angekuwa na bajeti ndogo ningemshauri kuanzia iPhone 13 Pro.
  10. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

    Camera ili ikupe kitu bora inabidi ujifunze kuitumia na uwe na muda wa kutosha. Simu ni sekunde kadhaa unapiga picha/video na kutuma hapo hapo. Assume unauza viatu mtu yuko mkoani anakwambia hicho kiatu cheusi ulivhopost una kingine rangi ya beige cha size 43? Unasema ndio anakwambia piga...
  11. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

    Kwa hiyo bajeti nunua used 16 Pro Max 256GB ndio all rounder kwenye business posts. Usinunue Pixel ina picha nzuri ila video stability mbaya na quality yake mbaya uki-share kwenye social media platforms hasa WhatsApp. Samsung somehow ni better balanced kwa matumizi binafsi ila kibiashara bado...
  12. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Wagogo walimbadilisha mkwawa

    Ngoja waje wajuvi wa hii historia wajazie nyama uzi.
  13. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Sony ni simu ya hobbyist. Ni simu ya niche tu, anayenunua ajue ananunua kwa ajili gani hasa photographer. Hapo nazungumzia flagships zao.
  14. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Ila iPhone ni simu zinadumu sana. Build quality ni ya juu simu ukiachana na battery kushuka viwango mambo mengine inaendelea muda mrefu. Na software support miaka inatosha ingawa siku hizi top Androids nazo zinatoa miaka mingi kwa flagships zao.
  15. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    iPhone nilitumia mwezi kwa mkumbo nikateseka nikaachana nayo. Ilikuwa iOS 17
Back
Top Bottom