Recent content by T.Ramla

  1. T

    JamiiForums Tanzania Polisi ya mlinda mtuhumiwa wa ujambazi kanda ya ziwa

    Tupe data za uhakika tusijetukaandamana ikawa umetuchochea na kutuuwa bure.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mauaji yanayofanywa na polisi, ni mauaji ya kisheria

    Nahisi polisi wanaruhusa ya kutumia nguvu endapo sheria/amri watakayoitoa itapingwa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa viongozi wa dini dhidi ya wananchi.

    Kuna kauli nyingi za uchafuzi wa hali ya amani unaoendelea hapa nchini ambao unaendeshwa na viongozi wa dini, kama ule uliotolewa na Sheikh ILUNGA KAPUNGU wa kitio cha Thaaqib Islamic Centre cha jijini Mwanza, Kwamba Bakwata ni tawi la kanisa, Muislamu rudisha heshima ya uislamu na nyenginezo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Polisi Waua tena Mwananchi!

    Nakuunga mkono Dokta, hata na mimi nilisikia hivyo hivyo ila sikupata tu ufafanuzi na nilisikia Askari yuko Mahututi sijui kweli au ni propaganda tu kama hizo zinazotumwa na hao wengine.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Hakuna Mkwala wowote unaoogopewa, mnamtukuza tu nakumpasifa. Hayo yote yametokana na juhudi za polisi wetu wakishirikiana na FBI. Kwani Pengo jana alikuwepo Zanzibar.
Back
Top Bottom