Recent content by Szczesny

  1. Szczesny

    Makapuku Forum

    So touching hakika ur amazing lady [emoji24] [emoji22] goodbye in deed
  2. Szczesny

    Makapuku Forum

    Yes in Szczesny Memory do that please. Msalimie 1, 2, mara ya 3 [emoji23] I ll miss this couple
  3. Szczesny

    Makapuku Forum

    I will always love you, am soo sad, lakin nashukuru kwa yootee Gud by my lover -james blunt I want to live with a girl like u thank u maisha bila wewe hapa yalikuwa so boring but i have to go, i think life will be more boring tena
  4. Szczesny

    Makapuku Forum

    Siku tatu tuu baada ya kujiunga na Jf nlikuja hapa , nilikuwa nna like 9 ya kumi ndo nme ipatia hapa mpaka sasa nna likes karibu 25,000 na zaid, kote huko nilisemwa kwa sababu ya ugeni wangu, lakini hapa mlinikaribisha kwa like [emoji3] ,i said i will always be here i wont go any...
  5. Szczesny

    Makapuku Forum

    It was Short moment yet so painfull to end [emoji22] [emoji24] Y'al be blessed guys
  6. Szczesny

    Makapuku Forum

    Nshukuru sana prezda (nlikuita hvo kipindi nakuja leo nnavo ondoka naomba unruhusu tuu nitumie [emoji3] )Wana KF ni watu poa sana yaan nadhani nyie ni watu wazuri mara kumi yangu. Yes segment inahitaji utayari, na muda mengne yoote mtu anaye ya weza akipendekezwa ata master tuu
  7. Szczesny

    Makapuku Forum

    Nime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote[emoji3] Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so I hope uta fuatilia mwenye vizuri...
  8. Szczesny

    Makapuku Forum

    Au ikiezekana ihamishe mda, au ipeleke weekend, au uwe una zitoa kidogo kidogo mpaka ziishe Options nyingi sana mkuu
  9. Szczesny

    Makapuku Forum

    Szczesny ana ondoka kf na jf Ana endelea na program nyingne za maisha I will miss u shemej I regret skuwa man fongo kwako[emoji23] Nakukubali sana, mpe hii manuu
  10. Szczesny

    Makapuku Forum

    Ahsante Mkuu Nashukuru sana kwa wish zenu
  11. Szczesny

    Makapuku Forum

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hiyo ki ufupi jf ita kuaga wewe Nimeona kupotea kimya kimya siwatendei haki ndugu zangu pia sjitendei haki mie pia
  12. Szczesny

    Makapuku Forum

    Hahaha Ntamis ujinga kama huuu Mweer!!
  13. Szczesny

    Makapuku Forum

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mweeer!! Ila wewe una weza, kama vipi iendeleze tuu mkuu Hii ni mali ya hapa hapa
  14. Szczesny

    Makapuku Forum

    [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] U will alwys be in my heart too guys I will miss u sanaa. Take care tuu endelezeni mzigo upige 100 k hapa
  15. Szczesny

    Makapuku Forum

    Thanks sana mkuu thread hii ime nisaidia sana pia Nme elimika Nime cheka Nime enjoy Nme pata updates kibao Yaliyo anza muyaendeleze watu wapya wana kuja kila day hapa Kama barca ana toka mtu ana ingia mtu. Mungu akubariki mkuu
Back
Top Bottom