Recent content by SYRE BOY JOSEE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kweli huu ni ubinadamu.....?

    Kweli huu ni ubinadamu kweli. Kuna mdada alifiwa na wazazi wake wote, akiwa na miaka 8 tu. Alipofikisha miaka 14 alikutana na mwanaume ambaye ni mfanyabiashala ya matunda. Kaka wa watu alijinyima akamsomesha. Mpaka sasa hivi na vyonena huyo dada yupo chuo UDSM. Heti leo ametuma komenti yake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dini kwenye mapenz

    Hivi ukapata mpenz, dini ikawa tofauti. Je? Ni nani anatakiwa kufuata dini ya mwenzake; A. Mwanamke B. Mwanaume
  3. S

    JamiiForums Tanzania Boda boda na vifo on the way

    Naamini ni uelewa wangu tu, nimekosea nisameheni wadau wangu, ila nilikuwa namaana; Hao madereva wetu wa magari kuwafanya wenzao kitoweo barabarani. Je? ni haki kwa vifo vina vyotokea. Asilimia kubwa ya waendesha magari huwabana wa bodaboda pindi akaapo pembeni yake.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Boda boda na vifo on the way

    Hv on the way hawa madereva wa car kuwafanya kitoweo % kubwa ya madereva wa car wakiwa kwenye magari wakiona boda*2 yupo pembeni yake ana mbana xo mnaonaje kama wanaonewa hv au wenzang mnaonaje
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri toka kwenu wa dau

    Ningependa kujua ni vigezo gani wanavyo 2mia wenze2 mpaka kumpata mwana mke mwaminifu
  6. S

    JamiiForums Tanzania About real love

    Nimerudi tena wadau najaribu kutafuta ubavu kuishi naye sasa mnaona yupi anaweza kuwa mzuri kati ya hawa Kanisani/Msikitini Kitaa/Uswazi Vyuoni Kazini Night club Safarini Mitandao ya kijamii NB; Kwingineko umapo ona ww pazuri
  7. S

    JamiiForums Tanzania Conflit btn me and one i love

    Yule dada naye ana m2 ye nimisteki ya kinga kupasuka na m2 ye bado ana muhitaji enda po yu mjamzito
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serekali 3

    Mfumo huu utato chance pindi muungano uatakapo vunjika kila m2 na yake siombei muungano uvunjika sababu aliye changanya mchanga, mchanga umeshamfukia pia kumbuka dalili za mvua ni mawingu. Tuna majeshi meng ila moja 2 ndilo alipo kwenye muungano je pindi muungano ukavunjika majeshi yaliyo kwenye...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Ckuzote aliye uwa nayd anahitajika afe ila kabla mahakama haijatoa hukumu hiyo inabidi m2 huyo apimwe akili kama zipo sawa bac lazima naye afa pia tukio lililo tokea alikusudia au kwa mimi adhabu iko sahihi kama mahakama itaitumia ipasavyo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Conflit btn me and one i love

    Nilikuwa na mpenzi wang akaenda depo la moja wapo ya chombo cha ulinzi na usalama. Kutokana na tabia tabia ya kutamani nikajikuta nimeingizwa kwenye mtego na binti mmoja nika mtia mimba ila tuliachana naye. Sasa bac alipo rudi yule wa depo ambaye kwenye mahusiano tuna kama miaka 3, akagundua...
Back
Top Bottom