Recent content by SYOSYA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hidden facts in President Magufuli’s speech of 22th April 2020

    Hao jamaa ndiyo wenye digrii bongo,,anaamini TB inauwa kuliko CORONA. Maajabu,,,
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karimjee: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19

    Magufuri AKA JPM ni mcha Mungu na ni Rais mwenye hofu ya Mungu. Mungu akulinde baba Magu akuongezee maisha marefu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Alichoongea Jana kilikuwa sahihi100%
  4. S

    JamiiForums Tanzania Coronavirus – Tanzania: 289 Beat COVID-19 Threat as Measures Pay Off

    Hafai kwa malezi huyo jamaa ,wenzio watoto zetu hawafanyi upumbumbavu huo..Baba hovyo saana wewe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona: Umoja wa Afrika mnatuangusha

    Kweli tumetia aibu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Daraja reli ya TAZARA lasombwa na maji, mawasiliano kati ya Makambako na Mbeya yakatika

    Uzembe ''huo ni uzembe uchunguzi wa kuangalia hayo madaraja siku hizi TAZARA hawafanyi. Rais ndio maana anawatumbua...yuko sahihi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aache kutukana na kudhalilisha watumishi wa umma kwa kisingizio cha maendeleo

    Rais hajatukana kaongea Ukweli...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    Wewe sheikh hawezi kutoa pepo3..Yeye pepo ni kiumbe cha mwanyazi mungu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    Tena saaana..ubongo wake haushirikiani.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwamposa na wenzake waachiwa kwa dhamana. Najiuliza kesi ya mauaji ina dhamana? Ila ya uchochezi/ kutakatisha haina?

    Umejuaje kuwa ni waungo???Acha kuhukumu watu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

    Mambo ya kawaida watu kufa Kwenye mikusanyiko 'Huyu Jamaa hana kosa 'Watu wanakufa clubs,juzijuzi watu wamekufa Kwenye mazishi ya Generali Iran,,watu wengi wanakufa kule saudi Arabia wakati wa kumpiga shetani mawe wanapomaliza hija..Tuache kuhukumu,tuwaache watu waabudu wanachotaka. MWAIPOSA...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

    Acha ukabila..Mbeya tulia anatosha..
  13. S

    JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    Lete picha hata sisi wa kakonko tuone
Back
Top Bottom