Recent content by Syntax

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    swali lako ni jibu tosha kabisa.kama vipi pigia mstari.
  2. S

    JamiiForums Tanzania 5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

    3G vs 3.75G
  3. S

    JamiiForums Tanzania Niambie technology gani?

    KUINGIZA VOCHA BILA KUKWANGUA. Kuzima taa kwa teke. Kukaanga samaki kwa maji. Kuziba pancha za treni. Uume na uke kung'ang'aniana kama umeiba mke wa mtu. Ni hayo tu,ahasanteni.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maisha unayoishi ni ndoto.

    kaka acha tu!! Mi nshaota naokota mahela meeengi,ile naamka duh kumbe ndoto nilikasirikaje?
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugly Women R The Sweetest In Bed (Not my words)

    Kush nehi meri geya kuchi kuchi hota hai ney ney. Kaka umemaliza na kufunga kabisa. No more, no less.
  6. S

    JamiiForums Tanzania chezea maisha ya bush wewe

    white wizard ni kweli,hizi ni nondo si miguu ya binadamu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Smartphone ambayo iko Transparent yazinduliwa

    nafahamu fika kazi ya betri ktk desktop,kaa ukijua desktop ina betri ili kutopoteza muda pindi inapokuwa off. Ila huwezi kuniambia hiyo smartphone itatumia betri za ziada ktk operation zake. Wanajinadi tu,hawana lolote,hata technology ya micro component systems ambayo iphone wanaitumia bado...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Smartphone ambayo iko Transparent yazinduliwa

    Jamani hiyo ni music player,sio simu.simu ina betri za saa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chezea kizungu wewe...!!

    Thicheki thatha.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugly Women R The Sweetest In Bed (Not my words)

    Nimekupata mkuu!!
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugly Women R The Sweetest In Bed (Not my words)

    we tulia kwanza unafikiri demu wako wote wanamwona mzuri?wewe ndo unaweza kumwona mzuri wengine wakaona kimeo,unafikiri wakipangwa hao 20 wote watakuwa na chaguzi sawa. Usikariri maisha,au hufahamu obama anamwona michelle mkali kuliko beyonce?
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi naamini 98% ya sisi wanaume huwa tunatamani tu, hatupendi kwa dhati

    Do you need us to stay there forever?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafta mchumba

    Heti academia hawajui tunahandika nini. Tunahandika huzuri wa mchumba hanayehitajika hau siyo.
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafta mchumba

    Halie na macho haambiwi tazama husimuamshe haliye lala,hakiamka hutalala mwenyewe hau siyo.
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafta mchumba

    Ni kweli kabisa anayejua kuhendo. Huzuri wake huwe wa kadri. Hakicheka ana dimpoz. Mwenye huvumilivu katika shida na raha.
Back
Top Bottom