Recent content by Synchronizer

  1. S

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Wasanii wa kibongo mabwege kweli ingawa kuna baadhi wanauchungu na jamii zao kama ROMA MKATOLIKI,Ambaye anaichana serikali bila uoga wowote....wasanii wengi wa kibongo kazi yao kutukuza kisicho CHEMA....wasanii mwende SHULE....Mnatumiwa na magamba kwa influence yenu mnakusanya wananchi ktk...
  2. S

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Mie sishangai hata kidogo na nilitegemea kitu kama hicho...kwani hata wabunge wanaotuhumiwa kwa ufisadi warudipo kwenye majimbo yao hupokelewa kama mashujaa wa vita na wengine kuwalilia mpaka wanazimia wanapojiudhuru.....! This is Tz we wanted.
  3. S

    Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.

    Tuache hadithi CoET TATA....PEPA Mnapiga Jpili mwanzo hadi mwisho wa semister at the same tyme maticha wengine wanabana wanataka kufundisha jmosi....! Shule ya CoET hawatest understanding bt claiming capacity....usipoiona test ya nyuma aliyoiokota lect huko anakojua basi ishakula...
  4. S

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    Pamoja the YES IS COMING.....!
  5. S

    CHADEMA 'imelidanganya Bunge'

    Always CHADEMA wanapotoa jambo wanakuwa na ushaidi wa kutosha....sio wazururaji...CDM LONG LIVE.
  6. S

    Kuhusu maandamano ya kumpinga rais wa Tanzania Washington DC

    Hakuna kurudi nyuma........tungepata na bongo huku wa kumfunga paka kengele......kingeeleweka mapema,but the time will tel
Back
Top Bottom