rais hana uwezo wa kumtimua hakimu akitaka kama unavyodai wewe mkuu. Hebu pitia tena katiba yako uone. Kuna njia za kufata na wala si rais ndo anamtimua. Usiongee tu hovyo bosi
Si bora hata yeye alikua na uthubutu wa ku deal na hao mapolisi? Wangapi wanaona uovu unatendeka na hawajali lolote kisa kuogopa huo upolisi wao? :israel:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.