Hatukosei sababu tu sahihi ktk hilo kaka yangu,kwasababu wewe waona inafaa Bali mimi naona hafai na ndio maana napinga/nakataa,tunaelimishana ktk hili ingawa sio wote watasikia au kukubalina na hili.
Kwasababu kila mwenye subira atampata wakufanana nae,haya ni mambo ya kuelimishana na kuwa na msimamo ktk suala hili,sio kutaka kuwa mjuzi kwa mambo yasiyo na ulazima,hapo nimekataa,na kwasababu najua nipo sahihi ktk hilo kwa 100%
Tatizo kubwa ni kwamba tumeshajiwekea mawazo kuwa ni lazima kitendo hicho kifanyike,ni mpaka pale utakapokubali kuacha na ushikilie msimamo huo no matter what,mazoea ni kilema.
Nimezungumzia suala LA afya kaka yangu nadhani umenielewa tofauti hapa,starehe zisizokua na ulazima na kujiweka ktk hatari ya maradhi ambayo uwezo wa kujikinga nao ninao ndicho nilichomaanisha,watu wengi mnamlaumu huyu aliyeleta mada hii kuwa ni mchafu kitu ambacho si sahihi,pasipo kujua tayari...
Afya kwanza mkuu mambo mengine baadae,tahadhari ni muhimu kuliko kusubiri hatari itokee ndio tuanze hekaheka,si kila kitu ni cha kufanya vingine havina ulazima .
Jaribu kuelewa kwamba hii ni mojawapo kati ya njia Zitakazokusababishia kupata cancer ya koo,hizo njia nyingine hatujakataa but according to hili lazima ifahamike kwa wasiofahamu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.