Recent content by Syi

  1. Syi

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Ujumbe unao unajishaua tu naona kwambali bado jinamiz la mavi linakusumbua
  2. Syi

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Nyie ndo mnakurupuka kwan taasis ya rais siyo yamtu wanajua kuna watu wenye akil za mahaba kama ninyi mtakaoleta Sera za kuihujum serikal kama wewe but magu ni kichwa tofaut mjipange wenye lengo lakuihujum nia njema ya mwenye nchi
  3. Syi

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Jaribu kuwa mshaur kuliko kuwa mkosoaji wa kila kitu
  4. Syi

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Yan majitu yaakili yakukosoa hata Mimi yananiudhi sana sijui yakoje kila kitu kejel tu
  5. Syi

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Mfanyiwwe kipi ili mshukru rais anajua umuhim wa kuzalisha sukar yakutosha na pia hiyo tabia yakuficha sukar eti ili bei ipande nafaham analijua hilo tatizo lenu nikujifanya mnajua kukosoa kila kitu ,nilidhan ungekubal kwanza kuwa hill nijambo jema naukatoa ushaul wa kudhibiti bei na uhuni...
  6. Syi

    Makonda: Walimu kusafiri bure

    Kuna watu mnaishi kwakukariri kupondea kila kitu
  7. Syi

    Tundu Lissu: Wenje asiposhinda kesi ya matokeo, najiuzulu ubunge

    Wewe nae ulikuwepo?au unazugwa nakuridhika habar kubwa kama hiyo ingesomwa hata navyombo vya habar siyo huyu mjinga
  8. Syi

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Watu kama wewe nihamjielewi tulikuwa tushaacha kumsikiliza mkwere LEO watu wanajaa kumsikiliza MTU ambaye anapambana kuiludisha inchi kwenye msingi wakila mtanzania afaidi kipato imesikia akiongea juu yakununua NDEGE kuanzisha mahakama yamafisadi bado jitu linakuja hapa kukosoa tena halielezei...
  9. Syi

    Rais Magufuli alaani kitendo cha watu wanaosadikiwa kuwa ni majangili kumuua Rubani Roger Gower

    Umenena point kabisa mkuuu wakizingatia mkakati huo halkika ushirikiano utakuwa mkubwa mno
  10. Syi

    Lini Tundu Lissu ataacha kutafuta sifa na kuwa Mzalendo wa kweli?

    Issue nikwamba spika alikosea baada tu ya lissu kuomba mwongozo angetoa maelekezo kwa serikal yan angemkaribisha jenister atengue kanuni maana Tatar alikuwa ameshaandaa hill ajabu spika akazidi kutanua mjadala
  11. Syi

    Jimbo la Kawe ni Moto wa Kuotea Mbali

    Hahaaaaaa mzeee mbavu Mimi sina
  12. Syi

    Rais Magufuli amteua Chagonja kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Katavi

    magufur ni kichwa hawa alitaka kuwatimua ameona awashushe washughurike na kamkoa tu
  13. Syi

    Kama kuna wabunge jipu, basi sisi Ubungo tuna zaidi

    Nadhan pia hujui majukum ya mbuge
  14. Syi

    Naiona maana halisi ya 'Upinzani' sasa

    Mfalme yupi huyo au hujui maana ya mfalme
Back
Top Bottom