Recent content by sychellis

  1. sychellis

    JamiiForums Tanzania Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu

    Bado tuna imani na kuamini hii kauli,lakini kuna muda yanatushinda tunabaki na sonona mioyoni mwetu.Mungu atusaidie
  2. sychellis

    JamiiForums Tanzania Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu

    Kuacha kazi mkuu inaitaji ujasiri mkubwa sana,na ujasiri tunao. lakini tunawawaza walionyuma yetu itakuaje,kuna watu wanakula na kusoma kupitia sisi,icho icho kidogo tunachopata tunagawana nao.sasa ukifanya maamuzi ya kuacha kazi uingie mtaani upambane miaka 5,hawa watu wataishije?
  3. sychellis

    JamiiForums Tanzania Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu

    ni Ni kweli mkuu,na ndo kitu ambacho kinanipa subra nikiwawaza wengine ambao nimehitimu nao chuo tangu 2021 hadi leo hawajapata kazi yeyote ya kufanya. wengine tumebahatika kupata kazi lakini kazi zenyewe ni mtihani tu mishahara midogo majukumu mengi,mzazi anakuangalia wadogo zako bado familia...
  4. sychellis

    JamiiForums Tanzania Tunapambana lakini tunaishia kupata pesa za kodi na kula tu

    Umeongea kwa uchungu sana mkuu. Ni kweli kupambana tunapambana lakini tunaishia kupata pesa ya kodi na kula tu.hakuna maendeleo yeyote tunafanya.hatukui.hatusogei tupo pale pale.majukumu yanaongezeka tunashindwa kusaidia familia.tunaonekana tunafanya kazi lakini kipato hakitoshi kutatua hata...
  5. sychellis

    JamiiForums Tanzania Kwa kianzio cha bajeti ya 25M, naweza kufikia hatua gani ujenzi wa nyumba ya vyumba 4.

    Mkuu vp ulishaanza ujenzi?kama ulishaanza tupe mrejesho.na gharama kiasi gani umetumia
  6. sychellis

    JamiiForums Tanzania Wahasibu walipwe vizuri mshahara

    mkuu wahasibu walikukosea nini?
  7. sychellis

    JamiiForums Tanzania Wahasibu walipwe vizuri mshahara

    Kaka kuna wahasibu wanafanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamiliki wafanyakazi zaidi ya 300 na ao wafanyakazi wanalipwa kwa masaa yao waliyofanya kazi mzee acha ii kitu kutengeneza payroll ya watu wote ao balaa ukizingua kidogo unampa mtu hela ya bure
  8. sychellis

    JamiiForums Tanzania Wahasibu walipwe vizuri mshahara

    Sana wahasibu ni watu muhimu sana sema mazingira tu
  9. sychellis

    JamiiForums Tanzania Wahasibu walipwe vizuri mshahara

    NI kweli aisee,na uo mshahara wa laki 5 bado hajakwa NSSF elfu 50 bado LoanBoard elfu 75 bado PAYE anabakiwa na Netpay ya laki 3 na elfu na kama elfu 20 aisee,wawafikirie wahasibu bwana
  10. sychellis

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Ni kero kubwa sana hii,hususa Bank ya NMB naona ndo wamelishikilia kidete yaani ukidaiwa hata elfu 10 Songesha wao hupati mkopo wa Bank
  11. sychellis

    JamiiForums Tanzania Nimeenda benki ya NMB kukopa fedha, naambiwa mkopo wangu umekataliwa kwa vile nina mkopo wa Timiza kampuni ya Simu ya Airtel

    Sema NMB wanazingua sana yaani mkopo wa Timiza au Songesha wa elfu 20 ndo ukufanye ukose mkopo wa Bank. Ii policy wanatakiwa waitoe bwana
  12. sychellis

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria ni pendwa sana Tanzania na inje ya Tanzania ,kwa biashara ni nzuri sana

    Mkuu mimi nipo dar nataka niwe nachukua dagaa uko alafu unanitumia uku, utaratibu wako upoje na gharama za dagaa wanauzaje?
  13. sychellis

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kutafuta maana ya ndoto, picha unazoziona tafsiri yake ni wewe

    Mkuu kwaiyo unataka kunambia natakiwa nipambane zaidi na nivumilie maumivu
  14. sychellis

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kutafuta maana ya ndoto, picha unazoziona tafsiri yake ni wewe

    Mkuu mimi nimeota juzi nimepigiwa simu niende kwenye interview then kuna bibi akawa anapita pembeni nioivyomaliza kuonhea na simu akili yangu ikawaza kwamba yule bibi ndo kanisaidia ivyo nikamkimbilia karibu nikasema asante, ila yule bibi akajibu asante ile ya kushangaa alafu akasema asante ya...
Back
Top Bottom