Home of great thinkers ? ? ?,mwelevu hujifunza toka kwa mjinga unajua hilo. Kama umeona ni ujinga kaa kimya unafikiri kichaa akikuibia nguo wakati unaoga ukaanza kumkimbiza nani atoonekana kichaa. Hii so sehemu ya kujifunzia matusi. Heshimu mawazo ya mwenzio na ujiheshimu., usilazimishe kila mtu...
ndugu sisomi na wala sisomeshi. I want to teach.Dont assume that all jf members dwells at dsm. Aliyepo dar atakukuwa na idea ni shule zip kama nilivoomba msaada. Labda kidogo hukuelewa nilichosema. Unataka nitoke huku niliko nije nifanye research ya shule huko dar. ok its fine
Mingi kivipi. Bado nafanya kazi,, we unakutaka kwa nini nikikokuwa nafanya kazi, hayo ni personal niachie mimi.We jibu kama msaada ulivoombwa kama hujui na huna jibu kaa kimya.
Nina diploma ya education na uzoefu wa miaka 6. Natafuta shule za private zilizopo dar primary ama secondary haijalishi. shule zp naweza nikaanza nazo ?. Masomo ni History and Geography
Nina diploma ya education masomo ya histoy na geography. nina experience ya miaka 6, nataka shule zilizopo dsm. Ziwe private school, primary school au secondary haijalishi. Naomba msaada wenu shule zipi naweza kuanza nazo kuwapelekea cv ?
Ndugu tunatofautiana sana kwa vitu vingi. una gpa nzuri umekosa quality zingine. usisafirie nyota ya mwenzio subiri nawe utapata kampuni linalo-consider zaidi gpa. chamsing ni kutokata tamaa, wote tunatafuta ila tunashukuru mwenzetu akipata coz jam ya majobless inapungua hivo jua siku yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.