Recent content by Swoldiha

  1. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Mpeleke muhimbili. Kitengo cha magonjwa ya akili. Atasaidiwa pale kuhusiana na tatizo hilo
  2. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Ni wazo jema, je wewe upo kwenye ajira na unaongelea wasio na ajira? Au nawe ni muhanga mwenzetu wa ajira.
  3. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengeneza bahasha

    Bado ndugu, wewe Ni mtaalamu unisaidie huo ujuzi? Nahitaji sana
  4. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili kwa ajili ya Tution wanahitajika, kwa masomo ya sayansi

    Habarini. Kuna Tution centre inategemea kufunguliwa mwezi Machi mwanzoni kwa masomo yafuatayo, Maths, Physics, Chemistry, na Biology.Kufundisha Ni masaa mawili yani saa kumi hadi kumi na mbili jioni. Mahali Ni mbezi kwa msuguri.Mwenye utaalamu na hayo masomo tuwasiliane please.
  5. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Naomba uchangie nasi kazi yoyote uliyonayo ya kuwasaidia watu kupata kipato

    Wadau habarini za mihangaiko, jamani wenye connection na nafasi mbalimbali tuwasiliane. Mimi Ni social worker mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 5 ktk taaluma yangu. Nimeshafanya kazi Kama afisa ustawi wa jamii ktk NGO fulani iliyodili na masuala ya watoto..Pia nimefanya kazi Kama research...
  6. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya

    Na mkihitaji Social Worker nipo hapa, Nina elimu ya kitosha, na uzoefu wakufanya kazi na Key Vulnerable Population.(KVP).
  7. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

    Mtoze laki. Si kila kitu kwako?, I mean kutype printing? Au? Kama at a type yeye na kuprint, kula fifty, ila kama utafanya wewe kila kitu, mtoze laki ndugu kiroho safi.
  8. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuandaa Reseach proposal huwa zikoje?

    Inategemea na level ya research yake, he nu certificate, diploma, degree, masters au, hapo kila level na bei yake, funguka tukushauri
  9. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Nimetoka kulipa ada ya mwanachuo, kaniacha mweupee. Na kuna mzigo was rasta+ weaving na baadhi ya vitu vya saluni najitaji niweke kwa ajili ya huu msimu was sikukuu
  10. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Longolongo za benki ndio zilizofanya nije humu. Its very urgent that's why.
  11. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa riba tuwasiliane please, niweze pata utaratibu kamili.Naishi Dar @ mbezi kwa msuguri
  12. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Sina pa kukaa ndugu amenifukuza nisaidieni

    Jamani mlioguswa kumsaidia msaidieni, sio MTU msaada hutoi unaleta majungu tu humu. Haipendezi. Mlioguswa msaidieni jamani.
  13. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

    Vp kuhusu photocopy machine ? Je unatengeneza ? Natafuta fundi
  14. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kuendesha asasi ndogo za kifedha

    Nitakaribia nikishajipanga
  15. Swoldiha

    JamiiForums Tanzania Jino limetoboka nisaidieni wadau

    Inaitwa DFP (Dental Formula Power) ni dawa nzuri sana, inapatikana ubungo plaza. Multi kwenye benki benki. Ukijieleza kwa mlinzi atakuonyesha
Back
Top Bottom