Recent content by Swizzy

  1. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Huyo Annanias ye yupo wapi saizi?
  2. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Ila jamaa kweli aluvyoenda CMG kachuja sana hata hasikiki
  3. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Yah!!!
  4. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Kweli lazima kuna kitu....ila tutajua tu maana wabongo kwa kufukunyua hatujambo
  5. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Mkuu huyo jamaa usikute saizi yupo anasikiliza DW kupitia radio. Achana naye tu si unajua wabongo kwa kujikweza
  6. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Sijui ni nini kinaendelea huko, kama kuna lolote bora wayamalize jamaa aludi mzigoni
  7. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Umeona ehh
  8. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Kipindi huwa kina ruka wasafi FM na youtube pia mimi binafsi huwa naangalia sana kupitia YouTube
  9. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Kwa jinsi kipindi kilivyokuwa na fans wengi na sio kipindi cha live...inabidi wajipange kwa kurekodi vipindi vingi ili ata akiumwa bado tutaendelea kuenjoy. Lakini wote mimi na wewe hatujui ni nini kimempata MTIGA
  10. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Mi nawapa last chance, asipo simulia Mtega the story book ya jumatano hii ndo basi ntakuwa nimefunga nao ukurasa
  11. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

    Hii ni kwa wapenzi na wafuatiliaji wa The story book kutoka wasafi fm! Hawa jamaa walianza vizuri sana na hichi kipindi chao lakini lakini saizi kipindi kinazidi kupoteza mvuto, baada ya kuanza kutuchanganyia sauti kwenye usimuliaji wa stori. Wengi tumekipenda kipindi ni kwasababu ya sauti ya...
  12. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina la "Unga wa Dona" lilitokea wapi? Njoo nikujuze

    duh!! hii mpya kwangu
  13. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina la "Unga wa Dona" lilitokea wapi? Njoo nikujuze

    watakuwa wana jina lao
  14. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina la "Unga wa Dona" lilitokea wapi? Njoo nikujuze

    hiyo sijui labda tusubili wanao jua waje watueleze
  15. Swizzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina la "Unga wa Dona" lilitokea wapi? Njoo nikujuze

    Hahahaaaaaa!!!!!
Back
Top Bottom