Recent content by Swizbith

  1. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Gen Z wabisha hodi Uganda

    Vijana wskitanzania wanechoka wameshaona nchi imesha uzwa kila kitu
  2. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Gen Z wabisha hodi Uganda

    Nasikia vijana tayari kuna group huko whatsap limeanzishwa linaitwa lost generation limeanza kuratibu kila kitu na kuweka wazi kero na kashifa zinazohusu setikali ya mama kama ni kweli mama asikilize watu anaowaongoza zaidi ya hapo anaweza kupata shida
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameuza kila kitu wawekezaji hatuoni faida yao ni mapambio tu

    Nchi hii viongozi wa ccm wanaila mno
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vijana tuamke, hawa CCM hawana huruma watachukua kila kitu

    Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho. Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na viongozi wa dini ni tishio kubwa la ustawi wa jamii ya watanzania na Afrika

    Tanzania tunatatizo kubwa sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Mimi navyoona hapo wakristo sikukuu Yao ya pasaka wataisoma namba ! Kwa Kweli zanzibar Siyo sehemu salaama kwa wakristo
Back
Top Bottom