Recent content by switishka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    miss neddy Mifumo ipi ya kupenda nibadilishe? Tena mbona watu hauniambia nipo complicated, hata hawa wanaume Hadi kuwakubali ilichukua muda the first one ilichukua Kama miez minne huyu mwingine mwaka mzima we were just normal friends , may be sikumpa uhuru anaoutaka na nilikuwa nafanya hivyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    Elimu na Kabila la nini? Nashindwa kuelewa Kama walikuwa wananitamani si wasingekaa muda huo wote si ingekuwa one night stand! Wa kwanza nilimuachia mwenye mimba but hata yeye hakuolewa he married another woman ! na watu waliokuwa wanatujua wanasema ninge fight ningekuwa mimi ila ndugu zangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    Kuna maswali najiuliza sielewi inawezekana wote ni hawakuwa serious and they never love me back ila mfano wa kwanza hadi Jana anapiga simu anasema Yale yamepita nimsamehe tu anajisikia Amani kuongea na mimi anapita kikazi atanitafuta mimi ndio sitaki tu kuwa nae karibu he is a married man I...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    Wa kwanza ilikuwa chuo , the second one officin sehemu zetu za kazi zipo karibu kuna vitu tuna share na Mara ya kwanza tulionana 2012 tukawa marafiki wa kawaida tunaongea mambo mbali mbali ya maisha we were just friends hata baada ya yeye kutaka tuwe wapenzi nilikataa mi nilikuwa namchukulia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    Sijakata tamaa but am in pain! Kwanini matukio yanafanana toka ilivyotokea Mara ya kwanza 2010 nimekuta na na huyu 2013 ndio niliyempenda hapo katikati sikuwa na affair cuz nilikuwa nakutana na watu sijawapenda na hata sasa wako wengi wanaonipenda but am not in love with them na mimi siwez kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

    Habarini wanajamvi. Niko na stress sana this is the second time in my love life . Naona hiki kitu kinajirudia rudia Katika maisha yangu. Mara ya kwanza nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa muda wa miaka miwili na mwanaume we loved each other hadi baadhi ya ndugu zetu ktk familia walikuwa...
Back
Top Bottom