Recent content by Switch Case James

  1. S

    Nataka kujua

    nenda kapige software eng-udom utakuwa fiti xana bt jipange utaweza, code ni rahic ukiji2ma mkuu.
  2. S

    KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    koti la suti halivaliwi kwaajili ya baridi.
  3. S

    KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    koti la suti halivaliwi kwaajili ya baridi.
  4. S

    KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    gari la kuvutwa haliovatek
  5. S

    Ni ujinga

    ni ujinga kuamini kimvuli kinaishi.
  6. S

    DoGo "JoHn" : NaTaka niRusHwE mPaKa dArAsa la tAtu toKa dArAsA La kWanZa.

    aise huyo john ni bala tupu.apelekwe la saba kabisa.
  7. S

    DIT inaongoza kwa kufelisha wanafunzi? Tatizo ni nini hasa? Nini kifanyike?

    mwambie aje informatics-udom hapa tjila ki2 kipo bt ajipange coz rate ya kudisco inakimbizana na dit.
  8. S

    msaada windows iliyocorrupt.

    nikiwasha inawaka nakudisplay manufacture name then inazima,os ni windows 7 altimate. Na kunanyingine ikiwashwa inaonyesha option nyingi nying za kucomand, lakn ingekuwa vizuri zaidi ukanielekeza case zote ambazo hutokea after os kukorupt. Asante.
  9. S

    msaada windows iliyocorrupt.

    xorry mimi nahitaji kufahamu jinsi ya kuitibu os iliyocorrupt kwa vyovyote bila kuiformat disk. msaada wako mheshimiwa.
  10. S

    msaada windows iliyocorrupt.

    msaada please jinsi ya kutibu os iliyocorupt. Natanguza shukrani. Axante.
  11. S

    Bodi ya mikopo elimu ya juu (udom) yazidi kuwasotesha mwaka wa kwanza (baed), hatari ya kujiuza tena

    da hata mimi jamani ni mmoja wapo wa wa2 ambao ha2jui hatima ye2 til nw.
Back
Top Bottom