Haijalishi, na hayo mambo yapo kila sehemu BUT kuzaliwa familia masikini hakukuforce wewe uwe masikini pia ilhali unauwezo wa kujitajirisha. Ilimradi umekua na umepata akili... zuri na baya unalijua then baya achana nalo.
Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.
Wazungu wamejua hilo ni tatizo lakini wamelipenda ndo maana wanapromote, sisi tumejua pia ni tatizo kubwa lakini hatulipendi na hatutaki hata kusilikia. Yaani mtu azaliwe na tabia za kiwizi wizi ndo tumchekee tu kwamba ndo tabia yake binafsi???
Pesa mnatafuta nyinyi halafu mwisho wa siku mnakuja kushare na mafundi dishi bure. Wanawake unawajua au unawasikia. Omba upate mwaminifu kwanza kisha tafuta hela.
Shetani ni kiumbe mtenda maovu hata binadamu anaweza kuwa shetani kama mfumo wake wa maisha alioichagua ni wa laana tupu.
Kwahiyo kama hujawahi muona tafadhali omba hivyo hivyo usimuone.
Muulize mtoa post usiniulize mimi. Mimi nimejibu kulingana na swali. Yeye ndo amesema ya kishetani na mimi nimejibu kulingana na vitu vingine vya kishetani vinavyopendwa kama "beer" nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.