Recent content by sweetiebaby

  1. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    Haya mapya yaani kujifunza dini kwa kibali. Sasa mmeanza kujionyesha true color.
  2. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu yule House girl aliyempiga mtoto

    more info at Infobare.com
  3. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

    Tafuta udi karaha katika maduka yanayouza dawa zakisuna, mpe atafune kisha ameze maji maji yake, kama nimgonjwa sana asiyeweza kutafuna mchemchie na maji kidogo sana kisha mpe kama vijiko viwili hivi. Mimi ilimsaidia baba yangu.
  4. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Kutoa Apple ID kwenye Iphone 5 au Iphone 5s

    Kama umenunua mpya online itakuwaje na apple ID ya owner mwingine? Sema ukweli umenunua ya wizi unajidai umenunua mpya. mpe mtoto achezee ishakuwa toy hiyo huwezi ifungua
  5. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Kutoa Apple ID kwenye Iphone 5 au Iphone 5s

    Ya wizi hiyo
  6. sweetiebaby

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    Ngoja tuone speed yake
Back
Top Bottom