Recent content by SWEETEST

  1. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutongoza kamwe hashindwi kitu lazima akuweke kwenye 18

    nitaaminije?
  2. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutongoza kamwe hashindwi kitu lazima akuweke kwenye 18

    na je ulitoka nduki?
  3. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutongoza kamwe hashindwi kitu lazima akuweke kwenye 18

    mkuu jicho tai wewe ulishawahi tongozwa na mwanamke? Na je ulitoka nduki?
  4. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume walio oa wanawake wazuri kupita kiasi!!!

    mkuu kutoka njee ya ndoa ni tabia ya mtu. Hata awe na watoto wangapi kama ni tabia yake atatoka tuu. Tena akiwa mjamzito ndo kabisaaa full kujiachia, atatembea nje kuanzia mimba ina mwezi mmoja mpaka miezi tisa.
  5. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Fikilia wanao wataisheji hapo badaye baada ya kufa kwa kujitakia

    Jiulize tuko wangapi??? Tulizana!!!
  6. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Nime bakwa na bosi wangu. Msaada wa kisheria unahitajik.

    Hadithi njo, uongo njoo, utamu kolea
  7. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Kabinti kamenifanya nikimbie nyumbayangu mwenyewe

    umenena mkuu...ndio maana mimi siamini kama ni story ya ukweli!!! ......mtupu!!!
  8. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Kabinti kamenifanya nikimbie nyumbayangu mwenyewe

    Tamthiliya nyingine hizi jamani!!!
  9. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Wadada warembo wanapenda mambo safi tu,, Hardworker tunaotoka Familia Duni tunakomaje

    Usijali mkuu.....hao wapenda pesa achana nao tafuta wenye upendo wa kweli
  10. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Wadada warembo wanapenda mambo safi tu,, Hardworker tunaotoka Familia Duni tunakomaje

    Angalia lakini usije ishia pabaya kwa kupenda pesa....
  11. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nampenda mke wangu lakini...

    mkuu pole sana kutokana na tatizo ulilonalo. Nakushauri usipende kuweka laptop kwenye mapaja kama unatabia hiyo kwani lile joto lake si zuri linapokuwa karibu na sehemu zako za siri. Vinginevyo muone daktari kwa ushauri zaidi
  12. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Ni raha sana wajamen

    yah..ni raha mnoooooo. Hongera mkuu
  13. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    mmmh!!! pole sana mkuu! yaani anadegree na bado haoni umuhimu wa kufanya kazi!!!??? something must be wrong somewhere!!!!!!!!!!!!!!!
  14. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuruhusu wafuatao kuwa karibu na mkeo, hatari

    Mkuu uzinzi ni tabia ya mtu!!! akiamua kufanya anafanya tu si lazima awe karibu na watu wa aina hiyo
  15. SWEETEST

    JamiiForums Tanzania Yahaya unaishi wapii, umeniachia mawazo.................

    mambo ya story za kutunga......
Back
Top Bottom