Huyu mwandishi wa habari na Dc wote waongo tu, wananchi walifurahia sana kitendo cha polisi kupigwa na JWTZ watatu na waliopiga risasi ni polisi sio wanajeshi bhana, kama wale madogo wangepata silaha ingekuwa mengine! na huu ni utovu wa nidhamu na uvutaji bhangi holela wa hawa vijana wetu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.