Recent content by sweetanny

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nmb East zone

    heee !makubwa haya
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    ki ukwel it depends,mie nilifanya dom ...wrttn ilikua amptitude test bodmas ,mafumbo,general qns,oral ilikua kawaida tell me abt yourself,ukipata loss utafanya j,mtu akiacha keepchange itakuaje n.k
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB kwa kanda zote

    tatizo la nmb ni family bank sana,usipomjua tu ni shughuli
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB kwa kanda zote

    mimi nina mashaka na hzi taarifa kwa sababu mm mwenyewe nilifanya intervw central zone mwez wa pili mwshn by mwez wa 3 mwanzon wakaajir,thn kuhusu dsm waliajir b4 dodoma,northn zone pia washaita mwez wa tatu,khs eastern na western zone tumeapply juz juz tu deadline was tar 21/3 how comes ,ghafla...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TRA wametoa Nafasi za Ajira

    hata mie hawajanijib mail,ila application nimetuma
  6. S

    JamiiForums Tanzania BOT waanza kuita interview

    tuendelee kusubir aisee
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye update za NMB Dodoma

    kuwa karib nw wanaita for marketing,kwa wale waliofanya intervw
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye update za NMB Dodoma

    Kwan wale hawatakiw kuapply??kuna uhakika kwamba wataita wengine au?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye update za NMB Dodoma

    Cjui,tusubir leo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye update za NMB Dodoma

    Wameanza kuita leo,kuna mtu tulifanya nae ameitwa leo akaripot alhamic ,wengne tusubir may b ksho au ndo basi tena
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye update za NMB Dodoma

    Mwenye update kama wameanza kuita matokeo ya oral
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    kwa ninavofaham nmb wakitoa post za kazi ni almost zone zote,kwa sasa dar washafanya intervw,central zone tayar cjajua zone nyingine,ila kama uko karib na bank ya nmb tembelea hua wanabandika ofcn kwao
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    walisema after 1 or 2 wk ,ya kwanza ndio hii,let us wait for nxt wk
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    na mie email yangu ni jidamva@gmail.com
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    cutaje details watu tutume application
Back
Top Bottom