😄😄😄 kukawa na sasatel pia ila hiyo sijui ilikufiaga dar nayo....kuna lile tangazo lilikuwa dum dum dum dum dumdumdummm yeee ivi ilikuwa mtandao gani vile tena nahisi ilikuwa before 2008 zantel customer care wao mwanaume ghaiii sauti mbayaa
Wanaume wengi huwa hawana uvumilivu kwenye ndoa hasa akiona anafanya usaliti mwenzie anaona afu anapuuzia, alafu mjue mwanamke aliyeamua kuolewa akazaa watoto zaidi ya wawili afu eti awe msaliti wa mapenzi labda kama alikuwa malaya kama malaya wengine!
Speaking from my experience mume wangu...
Labda aseme baadhi ya maeneo minara ilikuwa haijafika kwaivo matumizi ya simu yalikuwa bado....wakati huo kuna shiva jerojero, sijui buzz ilikuwa ishatoka wamekuja tgo, celtel washatoka wakati huo ipo zain
Mmh 2008 simu zilikuwepo mkuu tena sana tu, mi mwenyewe 2006 nlikamatwa bwenini nina Motorola yangu amenipea boyfriend akiii yule discipline master akaipigiza chini hapo hapo ikapasuka akaokota line ili wakasome sms sasa na walimu wenzie....namlaumu yule dogo au ni mzazi wake mjinga yule mtoto...
Achana na wale wanaokaa nyumbani ila pia wana akili ya kujenga familia wanatoa ushauri mzuri kwa waume zao na kweli familia zinasimama...huyo dada alikuwa mtafutaji mjini, alikuwa akifanya kazi usifanye uwezo wa mkeo ndo uwe wa wanawake wote....kuna wanawake wana matusi mjini bana mwanamke...
Kuna ile mkiwa na mahusiano mazuri, unaona huyu ndo baba afu kidogo unamzidi sasampa kuna ile hali unatamani mwanaume abaki kuwa mwanaume ukiamini mnatafuta kwa ajili yenu na watoto, ila shida inakuja pale mwanaume ameanza kukuzoea na kukuchoka kiasi michepuko ndo imepanda cheo ohoo akili...
Bora hata bangi, kuna wale wanaokula ugoro jamani ni nchi nzima plus wanaume karibu woote ni kubwia tu maugoro km bibi vizee wa zamaniiiii yani zamani sana maana wa siku hizi hawali ugoro
Mwalimu kama anawekwa kwenye lory kama ng'ombe anasafirishwa kwenda kujaza uwanja fasi moya ivi mkutano ukiwa bila ubishi atapata wapi power ya kugoma? Kwanza anadai nini mwalimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.