Recent content by SWEET HUSBAND

  1. S

    Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Dizain kama shemeji yangu huyu!!ngoja niendelee kusoma nitapata jibu!! duu i wish nijue mnakaa wapi ningecofirm!
  2. S

    Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

    Usiondoke, cha kufanya jipe muda mwingi wa kwenda sehemu unazopendelea kupata stahehe zako, kakae huko na mtu unaemwamini ni rafiki ako au dada yako, jipe raha ondoa mawazo, Mungu hajatuumba kuteseka, unafanya business tumia hela zako kajipe raha. Pia mweleze mama mzazi wa huyo binti!hilo li...
  3. S

    Kwa wanaume tu.

    Kwamtoro, pole sana na utubu katika hilo,maana unamtukana Mungu wako, binadamu wote tumeimbwa kwa mfano wa Mungu, so unataka kuniambia Mungu ni chizi!!we are sorry, sisi sio machizi, kama ni uchizi kichaa unaongelea, kana kwa jina la YESU AU MTUME!!!
  4. S

    This goes to all men

    Elli shikamoo!!!tena rahaaaaa bila hata jasho, hata mi mimba ya kwanza nimeduu usiku by saa nne, sa tisa usiku uchungu ukaanza, ingawa ulikuwa ni false labor pain, nikaenda nikalala one day hospital, nikadeliver!!!
  5. S

    This goes to all men

    BEAUTIFUL WIFE, usijali huwa hawatoki mi naona ni tabia tu ya mtu, kama wewe unapenda na yeye anaenjoy na joto lako,sidhani, akifanya hivyo basi hana upendo na huruma kwa mkewe! ila usiwazie hivyo maana utamchukia na hamu nae haitakuwepo.
  6. S

    This goes to all men

    Niko hoi, hata huku naona tabu kuingia!!asubuhi hii tu nimegonga, na nina siku kadhaa nitue, wanaokosa kwa wake zao wakiwa wajawazito wanamiss, kwa mujibu wa mr anadai ni tofauti na nikiwa sina mimba, anasumbua balaa, thanks God na mimi napenda sana hiyo kitu nikiwa na mimba, wala hatumii nguvu...
  7. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Nilitaka ajue nategeme hivi karibuni!msaada mbona hata jirahi anakulea tu uzazi,wala sina wasiwasi kwa hilo!Thanks ndugu!!
  8. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Kwa kweli na Mungu ananiona,nampenda mama mkwe wangu na ninmheshimu sana,mimi ni mvumilivu sana sana,na nimwelewa mno na ninapenda kukoselewa,ni mwepesi kuomba msamaha na huwa sirudii kosa haswa nikionywa,ni mama tu na ninamjua ni mtat.Dada mi huwa naona aibu kusema nina mimba,ndio maana huwa...
  9. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Asante,niliumia tu maana sikutegemea hilo!
  10. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    MMU ndio wapi ndugu,nielimishe!
  11. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Vibaya hivyo,sema mwenzio nipate relief!!nawengine wajifunze, makosa yannatokea kurudia kosa ndio mbaya,we niambie tu ila kunitukania mume wangu,big no,nitukane mimi hapa,hahaaa!!
  12. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Mwenzio naonaga aibu,hata mama simwambiagi moja kwa moja,najipelekaga pelekaga ili wanione basi, ok asante mpendwa,sema sitegemei tena, ningesema mapema miezi mitatu tu, lakini angeniambie ile mimba ya first born, hii ningebadilika ningemwambia mapema.
  13. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Sio mdomo ni upendo umeniponza!!najigonga nipendwe but wapi!!!Thanks God husband loves me,na anamwelewa mama yake,sijui ingekuwaje maana looh,ni mama mtata!
  14. S

    Mama mkwe jamani msaada!

    Nilivyopondwa nishanyamaza,naperuzi tu mitandao after few min nikatembee dogo ashuke vizuri!!
Back
Top Bottom