Recent content by SWEET GIRL

  1. S

    JamiiForums Tanzania Njia bora ya Rais Samia kurudisha imani kwa wananchi ni kuhutubia Taifa kwa kuvunja mkataba wa DP World

    Mimi hata ahutubie sijui avunje mkataba dina imani nae tena na haiwezi kurudi hata ufanyeje
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    Yaan hakuna mwanamke hata mmoja...haya hapa tunanusa harufu ya udini aiseee
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa royal tour, mikataba iliosainiwa ni ya kuwapa wazungu Mapori ya akiba

    Heeee mambo hadharaniiii imbombo ngafu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mmh jaman kuweni wazi twende mipakani kikinuka naingia malawi tu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia hufuatiliwa sana na Watanzania

    Buhahahahahahahahaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukweli mimi sijawah sikiliza hata moja. Ila nakumbuka hotuba za mwamba pale ofsini walikua wanawasha redio kwa sauti kubwaaa na kila mtu anasikiliza hata kula watu hawali mpaka hotuba iishe.....wengne walikua wanaandika adi notisi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Mungu atatuletea Mwingine zaidi ya Magufuli na kila kitu kitarudi kwa wananchi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

    Mmh vitendo gani ivyo???mbona hatuvioni???Rais wa vitendo anajulikana nchi nzima ilijngeka.CCM mna hali mbaya sanaaa tuleteen mgombea mwingine
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Ni msaliti wa mtu mweusi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Vichwa vya mwendawazimu kabisa wale can you imagine???walipata zero kwenye kila kitu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vizazi vijavyo vikikuta rasilimali si zao vitaanzisha uasi na kuingia msituni kuipinga serikali

    Yaan mimi nasikia uchungu sana na kwakweli kama mtanganyika nawaza sana why wauze bandari???itafika siku ya ukombozi na haiko mbali
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Wao ndo wameshindwa....basi wapishe watanzania wengine wenye uwezo waendeshe
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Yaan sanaaa mnooo angalia teuzi utajua kuwa kuna udini unaendelea
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Hakuna jipya lolote kwa serikali hii iliyojaa watendaji wale wale na wawekezaji ni wale wale.nafanya kazi kwa taasisi moja iliyobinafsishwa ukweli ni kwamba hakuna mwekezaji anayetaka kutupatia faida kubwa sisi.ni anatumia mbinu zote ku-declare faida kidogo kila siku na zaidi sana anaweka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Sawaaa na kitambulisho cha utanganyika ndo kitumike kutoa umiliki wa ardhi,kupata kazi n.k
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Namshangaa ...heee Vatican ndo inaongoza dunia.mafile yako Vatican
Back
Top Bottom