Recent content by sweet gal

  1. sweet gal

    Bidhaa adimu maishani

    hapo umenena mwenzangu,wake kwa waume siku hizi wanawaza sex tu,siku mbili tatu weshachokana.hakuna love hapo ni kutamaniana tu.
  2. sweet gal

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    jamani naombeni mnisaidie hili,hivi katika mahusiano ya kimapenzi umri unaplay role gani?na je ni vizuri kupishana kwa miaka mingapi ndio muwe na mahusiano?:A S crown-1:
  3. sweet gal

    Hodi

    hi everybody nawasalimu woote na kuwaomba ushirikiano wenu ndani ya JF..ahsanteni sana.
  4. sweet gal

    Mtoto wa Mkulima, Si UDOM Pekee

    ni kweli na ni imani yangu kuwa haya yote yatashughulikiwa ipasavyo kwa kutambua ukubwa na uzito wa tatizo,,wekeni wazi matatizo yenu yapate kutatuliwa maana kwa kukaa kimya nani ataona??na ndio sababu UDOM wameona waanzishe na kuendeleza MIGOMO.
Back
Top Bottom