Recent content by Swahili_Translator

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lipi sahihi kati ya neno Ovyo na Hovyo?

    Hakuna neno HOVYO katika lugha ya Kiswahili.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kuunganisha maneno katika lugha ya kiswahili

    Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni kama; Nakadhalika badala ya Na kadhalika. Halikadhalika badala ya Hali kadhalika. Kwanini badala ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sanifu na fasaha ya mofimu "kwa"

    Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja na matumizi ya Kishengi lakini napenda kukumbusha juu ya matumizi sanifu na fasaha ya mofimu hiyo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunang'ang'ania matumizi yasiyo sahihi ya neno "Pelekea"?

    Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na mnyambuliko huo wa kutendea wa peleka, maana ya pelekea ni kufanya tendo la kupeleka kwa ajili ya mtu fulani au kwa niaba ya mtu fulani. Mifano ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
Back
Top Bottom