Ova ova ova, mwandishi samahani ila wewe ni mpuuzi. Our late president was not a dictator, alikataa kufuata matakwa ya mabepari ndio maana wakampa hilo jina la udiktera. Ila tukirudi kwenye rekodi, pia idi amin, gadafi, sankara, traole na magufuli wote walipewa tittle ya dictatorship? Why...