kama kuna mahali nimekosea basi niwie radhi mey be sifahamu, ila nikujulishe kuwa utimamu na heshima haupimwi na maandishi bro!!!! Na kama ndio sms ya kwanza kukutana nayo kutoka kwangu basi pole huo ni muendelezo wa maswali yangu kwa aliyenipa msaada wa majibu. nikutakie siku njema na pole kwa...
Au ni seme haki yangu ni ipi???
Ni stahiki zipi ambazo napaswa kuzidai?????? alizokuwa akiniwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii au???
Napaswa kuchukua hatua wakati gani pale anaposema haniitaji au kabla(ndani ya mkataba wangu)????
Hatua ipi ambayo inaweza kuchukuliwa kwa muajiri wa namna...
ok, nimekuelewa!
Na je, nina haki ya kusimama na kudai haki kwa mfano kudai ajira ya kudumu kutokana na kuitumikia kampuni kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili kwa mkataba wa muda mfupi au?
Habari za leo, naomba kufahamu kuna msaada gani kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa muda mfano wa miezi sita alafu mkataba wake umesema NOT RENEWABLE lakini kila ikiisha miezi sita anapewa mwingine kwa kazi ile ile nao pia NOT RENEWABLE kwa miaka mitatu. Namwisho wa siku anaondoshwa kazini.
atakuwaje na mmoja wakati yeye ni kama pipi iliyovuliwa ganda??? kila nzi apitaye anataka kutua apate utamu aende zake!!!!! Tujipende jamani jua thamani ya kila kiungo chako, usidandanywe na starehe ya mda mfupi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.