Recent content by Suzanne Kainerugaba

  1. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

    Siasa ni kugusa hisia. Ukiwa huna hoja na unatumika lazima ubaki kwenye kucheza na hisia za watu. Tanzania haina upinzani,ina wasanii tu wanaocheza ngoma ya chama tawala. Kwa kumsema sana Hayati Rais Magufuli ambaye hakuwa mtakatifu kama ambavyo watawala wote sio,yupo ambaye wanamkwepesha na...
  2. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Rais Samia kuvuna kura za vijana, wanawake, wapinzani

    Vijana na wanawake? Wanaume mnawaacha wapi. Mzungumzieni Rais kwa kwa kazi anazofanya kwa watanzania. Wanawake wenyewe ndio sisi wengi tunaoamini akili na fikra za waume zetu ni bora zaidi,mnatusemea? Rais analenga makundi yote,acheni ubaguzi hadi kwenye target ya kura or keep it to yourself.
  3. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Chongolo umewasahau waliokufisha ulipo unaanza kuwadhalilisha

    Endelea kujivua gamba Katibu Mkuu Chongolo,kama mwandishi anasema ulishalipa fadhila kwa kuwasaidia kuwa wajumbe wa NEC,sasa hivi watumikie watanzania. Hakuna ajuaye kesho,simama kivyako,kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila nikuhakikishie utakayofanya sahihi kwa nchi hii...
  4. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

    Marehemu Rais Magufuli hakuwa Makamu wa Rais kabla ya kuwa Rais. Yako mengi Rais Samia amejifunza awamu iliyopita na mengine amelazimika kuyafanya kutokana na pressure za watu watu na taasisi. Na pia marais ni watu tu,huwa hawafanani. Madaraka,Fedha na Umaarufu kila mmoja anavibeba kwa namna yake.
  5. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Huu ushauri sijui wampa nani. Mimi siamini Rais Samia anadharaulika. Na siamini jinsia yake ni tatizo. Sioni sababu ya kuijaribu TAASISI ya Urais.
  6. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Watu wasiompenda Rais Samia wanapenda kumdanganya kuwa anadharaulika kwasababu ya jinsia yake. Hawamwambii ule ukweli kwamba ikiwa anadharaulika sababu halisi ni nini? Mwinyi kwa maamuzi yake aliitwa Mzee Ruksa na kuna mtu tena bungeni aliwahi kumuita Rais wa nchi dhaifu. Ila kwa Mama ni jinsia...
  7. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Kuumia hapana,kifo ni hakika kwa kila chenye uhai,ninamkumbuka tu mnapolinganisha awamu kwakuwa yapo mema ya awamu ya 6 kama ambavyo yapo ya awamu nyingine. Ndio maana Mama yetu Samia aliwahi sema ataenzi na kuendeleza mema ya awamu zote.
  8. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Kuupiga mwingi kama ilivyo kufurahia unachojisikia ni mtazamo na hisia binafsi. Ninauheshimu. Ila sasa ili kumsaidia Mama tuhakikishe wanaokiri anaupiga mwingi wawe walau watanzania zaidi ya milioni 25. Halafu ili la kumlinganisha na JPM awamu ya tano ni kummaliza tu Mama kisiasa.
  9. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Salamu nitazifikisha Mwl. ila kwa posta,mimi siko Mbarara. Sisi tunajipanga na wa kwetu Samia Suluhu Hassan.
  10. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Mkuu hilo jina limekufanya unitoe Tanzania kunipeleka Ikulu ya Uganda. Nitazifikisha salamu nikiwa Tanzania kama Mtanzania.
  11. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Wakati Makamba anatufunga kamba, Leo tutazikosa mechi muhimu!

    Tunafungua nchi ndio tuwe na umeme wa uhakika. Kazi Iendelee.
  12. Suzanne Kainerugaba

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Kuwa Rais anaweza,ila kuwa Rais mwenye mafanikio kuliko yeyote Africa ni kutudanganya! Kwa watu wapi atakaofanya nao kazi? Kwanini waliopita hawakuwa marais bora Africa afanikiwe Dotto? Tunapaswa kuutazama urais kuwa si kitu cha mtu na kutazama nguvu kubwa waliyonayo wanaomzunguka Rais kwenye...
Back
Top Bottom