Recent content by SUTE

  1. SUTE

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Where you're my teachers, I have 90cm dish, how to get sport for FTA
  2. SUTE

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Wa KiHouthi Kwa Idadi Kumi Akiwemo Wa Ulinzi Walengwa Na Mashambulizi Ya Israeli Huko Sana'a,Yemeni.

    Haya ndiyo matokeo ya madrasa. Hiyo ni hesabu gani
  3. SUTE

    JamiiForums Tanzania Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

    Huko umeenda mbali, akiwa na miaka chini ya 15 alioa mshangazi wa miaka 40+ dah. Halafu alipofikisha miaka 40+ akaoa kitoto cha miaka 9 🤔
  4. SUTE

    JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

    Twambie umeshiriki mara ngapi kuwadhulumu wengine haki yao ya kuishi. Inaonesha umeonja ubaya wanaofanyiwa wengine. Mwisho wa ubaya ni aibu.
  5. SUTE

    JamiiForums Tanzania Mkusanyiko usio halali ni upi? Kwa kifungu gani? Hizi mbinu alitumia mkoloni pia kudhoofisha wapigania uhuru

    Kwamba kumbi za starehe zote zina vibali? "Watanzania sio wajinga"
  6. SUTE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

    Sikiliza hotuba yake akiwa kanisani, alisema, Kuna dini nyingine ilishushiwa kitabu kutoka kwa mwenyezi mungu na nyingine zilitungwa na watu.
  7. SUTE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Ni kweli wanawake na watoto ndio waliivamia Israel
  8. SUTE

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Dah, theology ya chuo gani hii
  9. SUTE

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Pole, basi sadiki sasa kwamba Mungu wa Israel ni Mkuu kuliko miungu wote
  10. SUTE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Israel kulipua mizinga mingi ya Iran, idadi ya makombora kuelekea Israel imeshuka mno, Makombora bila mizinga ni mapambo

    Kama haujui kitu tulia usome maoni ya wengine, sio lazima ku-comment. Iran ni taifa la Islam lenye misimamo mikali kuhusu wanawake kama Afghanistan.
  11. SUTE

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Kuna thread humu ilikuwa inatembea faster kwamba Paka ame dead kutokana na mashambulizi ya asubuhi . Nilijaribu kuufungua haikuwezekana na ukapotea ghafla
  12. SUTE

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    1 Haujui lolote au ni mbwamwitu umevaa ngozi ya kondoo
  13. SUTE

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Kumbe, Hivi unakumbuka Iran juzi kati imerusha makombora 200 kuelekea Israel ?, hapo hawakuanzisha vita wenyewe. Vipi Israel kwa sasa ikituma makombora 100, hali itakuwaje hapo Iran, kama kwa sasa umerusha makombora chini ya 20 tu milio kama yote.
  14. SUTE

    JamiiForums Tanzania Mchungaji SDA akemea vikali wanaoteka na kuua watu asisitiza damu za waliouliwa zitawalilia wauaji Milele, asema kiongozi lazima akosolewe

    Angalia maendeleo aliyokuwa akiyafanya kwa taifa katika utawala wa Jiwe, wema hufunika wingi wa dhambi. Ndio maana leo watu hawaoni ubaya wake kwa sababu alililetea maendeleo taifa kwa muda mfupi. Kinachonishangaza ni kwa nini mpaka sasa hakuna msemaji kutoka upande unaoshutumiwa yaani...
Back
Top Bottom