Habar kamanda[emoji137]
Katika andiko hili Jambo la nane ni kuhusu maswala ya ajira ...wa Tanganyika huwa Hawaruhusiwi kuomba ajira za serikalini Zanzibar wakati wa zanzibar wao wanaruhusiwa kuomba ajira huku bara ...Zanzibar wakitangaza kazi wanaweka kigezo Cha kwamba lazima uwe na kitambulisho...
Nilichokuelewa Mimi ..ni kwamba ..haujui na hauna ufahamu wowote kuhusu maswala ya kiimani na haupo tayari kuelewa au kuelimishwa ...lkn mi na maswali machache tu kwako je unaamini kwamba Mungu yupo au la? Pili je unaamini kwamba duniani Kuna wachawi ? Je unaamini kwamba Kuna mapepo ,na majini ...
Hoja yako ni muhimu sana
Inapaswa huu uwe mjadala mkubwa na wawazi .
Unapaswa uanze maramoja sambamba na swala la bandari .
Hoja hii lazima ipitishwe bungeni pia .ijadiliwe kwa kina na uwazi .
Awezekani asee.
Hawa jamaa wanatuchukuliaje bana[emoji1732]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.