Recent content by Susan85

  1. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Laki 3 chini sana laki 380 dada.
  2. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/ bata au sungura. Eneo zima...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunakodisha vyumba vitatu kwa ajili ya bachelors

    More pics
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunakodisha vyumba vitatu kwa ajili ya bachelors

    Habari tunakodisha vyumba vipo viwili ndani ya nyumba kubwa kwa bei ya 250,000 kwa kila chumba, ina seating room, kitchen, toilet na bathroom pamoja na dining room ndogo. Pia tunakodisha chumba cha nje kwa bei ya 150,000 kina choo na bath kwa ndani humo humo. Umeme na maji ya Dawasco yapo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Nipigie 0678884320 nione kesho.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga yenye mabanda ya kuku yanakodishwa Tegeta masaiti

    Y Maelewano yapo mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga yenye mabanda ya kuku yanakodishwa Tegeta masaiti

    Karibuni nyumba yenye mabanda ya kuku pembeni inakodishwa tegeta masaiti inavyumba viwili ndani,choo na bafu, sebule na dining pamoja na nje Ina servant quarters ya vyumba viwili.chumba cha nje kinafaa pia kama utataka kuweka kijana wa kusimamia mradi wako wa kuku.nyumba na mabanda yapo ndani...
  8. S

  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabanda ya kufugia kuku ya kukodi

    Contact whattsap 0756661761. Or call 0678884320
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabanda ya kufugia kuku ya kukodi

    Mabanda ninakodisha Tegeta masaiti yapo mawili yenye uwezo ya kuweka Kuku 1300 kila moja.nakodisha kwa laki 2 kwa mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala wakati anasimamia Kuku. Mabanda yapo ndani ya eneo ninapoishi so yapo secure ndani ya ukuta.maji ya dawasco na umeme...
  11. S

  12. S

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya kuku yana kodishwa tegeta masaiti

    Ninakodisha nyumba ya kukaa ya vyumba viwili,dining,sitting room na servant quarters yenye vyumba viwili nje na mabanda ya Kuku kwa kodi ya 650,000/-kwa mwezi kodi napokea kwanzia miezi 6 au mwaka.yapo eneo la tegeta masaiti mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo Linauzwa 1406 sqm bagamoyo kiromo 11km kutoka barabara kuu bagamoyo

    Kiromo darajani baada ya Kiromo shule
  14. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo Linauzwa 1406 sqm bagamoyo kiromo 11km kutoka barabara kuu bagamoyo

    Eneo Linauzwa bagamoyo Kiromo size in sqm ni 1406 sqm bei tzs 8.5m eneo lina documents Salama.sio mbali na barabara kuu ndani kwa 11km kutokea barabara kuu ya kwenda bagamoyo.kwa mawasiliano zaidi piga 0756661761/0754840408.
Back
Top Bottom