Habari tunakodisha vyumba vipo viwili ndani ya nyumba kubwa kwa bei ya 250,000 kwa kila chumba, ina seating room, kitchen, toilet na bathroom pamoja na dining room ndogo. Pia tunakodisha chumba cha nje kwa bei ya 150,000 kina choo na bath kwa ndani humo humo. Umeme na maji ya Dawasco yapo.
Faida ya kupanga hapa pia pembeni kuna banda la kuku ambalo tunawaruhusu wapangaji watumie kwajili ya ujasiri ya mali wa kuku wa kisasa/mayayi yeye mwenyewe atakavyopendelea.eneo linawafaa ma bachelor wawili wanaopenda ujasiri wa mali na kuishi mahali ambapo ni rahisi kusimamia mradi wako. Nyumba ipo tegeta masaiti kabla ya tegeta namanga na 3km mbele ya tegeta nyuki.Kwa maelezo zaidi na picha za ziada piga 0678884320/whatssap 0756661761.
Option 2
Kama mtu atalihitaji eneo lote pamoja na mabanda ya kuku atumie yeye pekee yake anakaribishwa pia kuja kuyaona.