Recent content by susan appie

  1. S

    Kila anayenitongoza namwona hafai

    hbr wana jf jaman hebu nisikie mawazo yenu hivi ukiachana na sheria ya nchi yetu umri sahihi wa kuingia kwenye mahusiano ni upi maana watu kila siku vilio sababu kuumizana je mwingine ni utoto au cku hizi mapenzi yameshayeyuka
  2. S

    Nimsamehe au?

    angalia ucje ukatoka kwny mtaro ukaingia kwny shimo refu dada wanaume wa aina hyo wachache sana, na ktk maisha hakuna ambaye hajawahi kufanya kosa he loves you yet MSAMEHE na usahau
  3. S

    Sina Amani na Uhusiano

    owh heshima kaka
  4. S

    Sina Amani na Uhusiano

    kiruu suala la umri halihusu we funguka yako bana
  5. S

    Sina Amani na Uhusiano

    above form 6
  6. S

    Sina Amani na Uhusiano

    mi mtu mzima ww umesahau form six wapo kwenye paper wanapata wap muda huu
  7. S

    Sina Amani na Uhusiano

    nataka nione kama ana malengo na mimi coz akiulizwa always anasema bado mapema lalini huwa hazungumzii hilo niliwahi kumwambia tubreak up akakubali lakni tatizo la kwangu ninashindwa utoka huko
  8. S

    Sina Amani na Uhusiano

    huyo cyo mume jamani na kwa uelewa wng mapenzi cyo ngono
  9. S

    Sina Amani na Uhusiano

    Man wangu anasema atajitahidi kuishi bila sex lakini ananishawishi, sana inaonesha hawezi bila sex natamani kutoka lakini nashindwa nisaidieni
  10. S

    Nifanye nini?

    Habari wana JF, Mi ni mgeni humu kuna kitu kina nitatiza nina mahusiano na mtu lakini kuna vitu niliobserve nikagundua ameweka mbele zaidi maswala ya sex na haonikani kupanga maswala ya maisha na mimi yaani huwa hazungumzii malengo ya mahusiano yetu kwa kusema kwamba bado muda namuamini sana...
Back
Top Bottom