*TARATIBU ZA KUFUATA ILI KUPATA MKOPO KWA KUWEKA REHANI NYUMBA AU KIWANJA*
Ili muweka rehani aweze kupata mkopo kupitia taasisi za fedha ni muhimu afanye mambo yafuatayo:
i. Ahakikishe kwamba ana hati miliki ambayo imelipiwa ada zote zinazohitajika kisheria
ii. Mwombaji awe na taarifa/ripoti ya...
MAANA YA ARDHI.
Kuna tafsiri nyingi za ardhi kulingana na uelewa wa mtu mmoja mmoja lakini kwa mujibu wa miongozo ya nchii yani katiba, sera, sheria za ardhi pamoja na kanuni na taaratibu mbali mbali zimeeleza ardhi kama ifuatavyo;
Ardhi ni sehemu yote iliyo juu na chini ya uso wa nchi, vitu...
*FAIDA ZA KUWA NA HATI MILIKI YA KIWANJA AU NYUMBA*
*Hati miliki ni nini?*
-Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa wa eneo, mipaka ya eneo husika(beacons au mawe) pamoja na ramani za upimaji za majirani.
*Hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.