Recent content by Surveyor_1

  1. Surveyor_1

    Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

    Basi hata faida ipo mkuu, ni kuhangaika tu kwa wanadamu. Maana sehemu sahihi ipo kabisa ya tendo hilo lakini unakuta mtu akili ishaathirika anaona sehemu panapotoka uchafu ndio pazuri zaidi. Wanadamu tuna kazi sana
  2. Surveyor_1

    Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

    Kweli mkuu hapa umenena, unajua watu wanaspend sana nje. Imagine ile bajeti ya uzinzi ukimpa mkeo kama zawadi tu tofauti na matumizi ya kila siku lazima kuna vitu vitaspark mambo yataenda vizuri Unajua wanadamu huwa tuna tabia ya kujenga mazoea na kupoteza morali, kwa hiyo amsha amsha ya kila...
  3. Surveyor_1

    Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

    Tuweke utani pembeni uzinzi si jambo nzuri, hata mzinzi mwenyewe sidhani kama anaridhia/penda wanae, baba ,mama, dada ......... zake wawe wazinzi. Kwa mtu anayejitambua anajua kabisa kwamba anakosea sema ndio vile kuacha inakuwa ngumu.
  4. Surveyor_1

    Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

    Tuweke utani pembeni, katika hii dunia sidhani kama kuna jamii inayounga mkono mchezo wa wanaume kushiriki mapenzi kinyume na maumbile na wanawake/ au wanaume wenzao kuliko mataifa ya magharibi (zipo nchi nyingine pia zisizokuwa ukanda huo) Maana nchi zao ndio zinaongoza kuhalalisha hilo...
  5. Surveyor_1

    Vitabu vya Risiti vinauzwa bei gani?

    Unapatikana wapi kiongozi ili iwe rahisi kwa watu wa maeneo hayo kukupa maelekezo
  6. Surveyor_1

    Mwenye kujua chimbo la vijora vya Bei ya jumla anisaidie

    Kuhusu viatu ule ni mtaa wa Narung'ombe na maeneo yanayozunguka hapo. Ukiwa mtaa wa Msimbazi na Narung'ombe ukienda kulia (upande ilipo klabu ya simba) maduka yapo mengi tu Japokuwa sasa kuna majengo yanabomolewa sana na kujengwa mapya. Upande huo utapata karibia viatu aina zote, upande wa...
  7. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    #2. VIDONDA VYA TUMBO Baadhi ya vyakula, mimea, na virutubisho vinaweza kusaidia mwili wako kukabiliana na bakteria ambao mara nyingi husababisha vidonda vya tumbo. Miongoni mwavyo ni kama vile ; A. JUISI YA KABICHI (MBICHI) KAZI ZAKE ▪️Kuondoa/kupunguza asidi tumboni. ▪️Kupambana na...
  8. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    KUELEWA VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo ni vidonda kwenye utando wa tumbo, umio la chini, au utumbo mwembamba vinavyosababishwa na kuvimba/kubabuka kutokana na bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) na asidi ya tumbo. AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO (i) Gastric ulcers : Hutokea wakati...
  9. Surveyor_1

    Mwenye kujua chimbo la vijora vya Bei ya jumla anisaidie

    Kiongozi nami niongozee Japokuwa kidogo. Ukiwa msimbazi pale pembeni ya kituo cha polisi (tandamti st.), nyoosha moja kwa moja na tandamti kama unaelekea sokoni mpaka ukutane na nyamwezi st. (Tandamti na nyamwezi). Ukishavuka tu mtaa wa nyamwezi (hutoona barabara kubwa ya mtaa maana hapo ndio...
  10. Surveyor_1

    Kero ya kukuta mtu kakaa kwenye siti yako ya dirishani kwenye Bus.

    Hata kwenye ndege kiongozi hao watu wapo, unamkuta kakaa kimya, ukimwambia anaanza sababu. Binafsi iwe bus iwe ndege lazima nimueleze mtu kistaarabu tu, siti ya dirishani si ya kumuachia mtu isipokuwa kwa dharura ya kueleweka sana.
  11. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Mtanisamehe Wana JF ntakapochelewa kupost, ni kutokana na muingiliano wa majukumu mengine. Nitakuwa nashare Kwa uchache post za tiba za ugonjwa mmoja kila siku 1-3. Yeyote mwenye maarifa juu ya mada iliyopo mezani anakaribishwa pia.
  12. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    #1. KUKOSA CHOO (CONSTIPATION) Hali ya kupata choo mara chache au kupata choo kigumu, au ugumu wa kupitisha choo. VISABABISHI Kukosa choo kunatokana na sababu tofauti tofauti ikiwemo : - Lishe yenye upungufu mkubwa wa nyuzi nyuzi (fibers) - Unywaji mdogo wa maji. - Matumizi ya baadhi ya...
  13. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  14. Surveyor_1

    Vidonda vya tumbo mpaka kooni

    Pole sana kiongozi ni vizuri angefika hospitali kupata usaidizi wa kitaalamu. Pia Kwa hapo nyumbani anaweza kutumia kabichi - anaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote. Kama ni tatizo kubwa sana anaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.
Back
Top Bottom