Recent content by suri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya utani ya Timu za Mpira wa Miguu Duniani

    Juventus - old lady Man city - the citizens
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya utani ya Timu za Mpira wa Miguu Duniani

    Hello JF members, Hebu tufahamishane majina ya utani (nicknames) ya timu za mpira wa miguu duniani. 1. Simba - wekundu wa msimbazi 2. Bournemouth - cherries 3. Norwich - the canaries Nitajie zako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Na maneno mengine yanachanganya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Imekaa vzr hii, sikubaliani yenyew imejitosheleza
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Naona kama Unanitoa kwenye reli
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    I don't have that time.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Ili kapu la taka, ntukane tu. Its a comment too
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Sure, mpaka kwenye makabila kiswahili kipo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    [emoji23][emoji2]So tume swanglish
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno 'Sijambo' lina mwitikio chanya?

    Habari wana JF Mneno mengi yenye mwitikio has yanaanza na 'si', mfano sitaki, sipendi, sijui nk. Lakini neno sijambo ni positive acknowledgement, kwanini tusiitikie 'nijambo'? Hebu tupeane maneno mengine yenye mwitikio chanya kama sijambo lakini yenyew yanaonekana kukanusha
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Hahaha hawa wambulu bhana wakiisema hiyo 'ddah' utafurah mwenyew Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Kilimanjaro hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    [emoji2][emoji23][emoji23]Dah Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    Mbe kwa kichaga ni baba
  15. S

    JamiiForums Tanzania Makabila na jinsi wanavyoshangaa

    [emoji2][emoji2][emoji23]
Back
Top Bottom