We Kweli kbosho , tulia tu , nguvu ya mungu yaani huyu huyu anaichukia wazinzi, wazi , wajokwezao, wafilaji, waongo na wasengenyaji?
Labda mungu wa kibosho
Tuambie we ni mtu wa wapi tukupe vyako,hv Ww kwa akili hiyo utafanya cdm ikomae ? na wasiwasi sana hata wa Bunge wa cdm watapungua , Naomba useme we kabila gani na mtu wapi , Japo siamini ukabila
We ni kabila tukufaham maana una ganzi LA ujinga hv tz ya sasa unahusisha ukabila
Hakika CD kuna mizigo ambayo yahitaji darasa kufudisha
Hv unadhani wote waha wanawaza sawa au nyie kabila lenu mnafanana tabia
Tuambie kabila lako tukujulishe
Unasema kigoma kuna njaa hv unawaza kwa kutumia kunakotoka njaa kubwa au Dogo,
Kiashilia kikubwa cha njaa ni wizi hv kabila gani tz linasifika kwa wizi
Kasikazini akienda makini anaongelea watu!hata huyo mwenye ITV mwizi sana na kazi mulugo kamuumbua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.