Recent content by suranne

  1. suranne

    Hongera Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kutuletea chuma "MAGUFULI"

    Shida vijana wengi tumeona kusifia ndo kupata ulaji!! Ni kweli Rais anafanya mengi mazuri ila kuna mambo ktk masuala ya uchumi wanampotosha!!
  2. suranne

    Hongera Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kutuletea chuma "MAGUFULI"

    Sawa ila angalia mfukoni una sh ngapi afu uliza nduguzo wanalionaje life la leo!! Wanatamani kuendelea kuishi hivi??? Nafikiri kama hali ikiendelea hivi life span la mtz litapolomoka sana to about 25 yrs!!
  3. suranne

    Haya ndiyo nayoyajua kwa muda wa miaka miwili kuhusu Rais Dr Magufuli

    Sijaona ukiongelea hali za wananchi katika miaka miwili!! Sijui ww unaionaje!!!?
  4. suranne

    Makonda na Waziri wa Madini wakagua maduka ya Sonara (Jewellers Shop)

    Wakusema wanachokagua mniamshe tuanze kujadili
  5. suranne

    Tatizo la Afrika sio China. Sio Ulaya. Sio Marekani: Tatizo la Afrika ni Waafrika wenyewe - Zitto Kabwe

    Propaganda za nchi za watu!! Tuliaminishwa kuwa shetani naye ni mweusi ila Yesu mzungu!! Kweli yajayo yanafurahisha! Tujitathimini na kuchukua hatua.
  6. suranne

    Tanzania kupoteza maelfu ya wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi

    Kaka Lissu tunaomba maoni yako katika hili maana ulishauri wakagoma wakafuata njia yao wakapotea now wanarudi ktk njia yako bila kuwa na mwongozo wako. Je wako sahihi?
  7. suranne

    Chacha Marwa(CHADEMA): Nipo tayari kuacha ubunge lakini unipe barabara

    Yuko sawa kukubali mamlaka ya nchi na watu wote wako nyuma ya Rais ila nafikiri siyo chini. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. suranne

    Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru

    Kwani kuna tofauti na ule mkataba ulosainiwa public holiday pale hotelini marekani?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. suranne

    Wakati nyie mkiendelea na siasa zenu chafu za makontena ya Makonda...

    Mleta mada hebu agiza pepsi bariiidi ntalipia!! Mhanga wa area D, Dom alishauri tujitafakari namna bora ya kwenda ila akapongezwa kwa smg!! Uzuri matokeo yanaonesha nani ni nani katika kufikiria na kuchambua sheria!! Get well soon bro!!
  10. suranne

    Diplomasia ya Magufuli versus diplomasia ya Uhuru Kenyatta

    Watanzania wana nafasi kubwa sana kuipiku Kenya kimapato coz tuna fursa nyingi na raslimali watu kubwa. Jumlisha na nchi zinazotuzunguka zisizo na bahari! Sema hatujui tufanye nini zaidi ya kujifurahisha eti tunapendwa so tutatawala milele!!
  11. suranne

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda jiuzulu

    Muda wake bado hujafika!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. suranne

    Ya Lissu na Mbowe yametoa ushahidi juu ya Mbowe na Chacha Wangwe

    Uchunguzi huru kwao Zimbabwe bongo maigizo!! Asante
  13. suranne

    Rais Magufuli kufanya ziara Mwanza, Simiyu na Mara kuanzia Septemba 3 mpaka 10, 2018

    Naomba akumbuke kuvuka maji atapofika Mwanza to Ukerewe coz hakuomba kura wala kurudi kushukuru. Labda anatekeleza maelekezo ya Ben alipoingia 1995 hakupata kitu mpaka alipowaletea Umeme na kivuko.
  14. suranne

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    Kumbe kote tunatengeneza comedy!!!?? Kwann wafurahie kitu kisicho chao na si jambo geni maana siyo ndege ya kwanza kutua Entebbe au Bujumbura!! Hatutafika salama tukiendekeza misifa!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom