Maajabu ya MV Nyerere; michango ndio iliyolipa wafiwa na wahanga, na watoa huduma kujilipa laki 4 kila mtu. Serikali haijatoa chochote mfuko wa maafa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Nimetoka kumsikia waziri hapa nikasema yaleyale ya bukoba. Michango imefika milioni 900 na ushee.

Kati ya hiyo milioni 200 na ushee wamelipa wahanga, wamelipa watoa huduma kwa kujilipa laki 4 kila mtu znazobaki watajenga mnara wa kumbukumbu na kujenga wodi tatu.

Ule mfuko wa maafa chini ya waziri mkuu?

Hii ndio CCM mpya
 
Mimi nilifikiri baada ya kuhamasisha watu wasichangie basi hata michango isingekuwepo! Kumbe imekuwa tofauti mpaka kwa sasa tunataka tena kujua matumizi yake!

Ama kweli Watanzania wengi ni wakarimu sana na wana imani michango yao iko kwenye mikono salama ama sivyo wasingechanga!
 
Response ya michango inaendelea kushuka so tuendako wataanza kutumia zao.
Response ya michango inategemea na ukubwa wa tatizo/janga.

Usitegemee response ya ajali ya boti italingana na janga kama tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6 ambalo liliathiri pia Uganda, Rwanda, Burundi na DRC.
 
Tunawaletea maendereeoo
Nimetoka kumsikia waziri hapa nikasema yaleyale ya bukoba. Michango imefika milioni 900 na ushee.

Kati ya hiyo milioni 200 na ushee wamelipa wahapanga, wamelipa watoa huduma kwa kujilipa laki 4 kila mtu znazobaki watajenga mnara wa kumbukumbu na kujenga wodi tatu.

Ule mfuko wa maafa chini ya waziri mkuu ???????

Hii ndio ccm mpya
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom